Nimechoka kujipendekeza

Nimechoka kujipendekeza

Braza tafuta hela sio ka nakudharau mie mwenyewe pia sina hela ukiwa huna hela utasalimia sana ila hakuna atae kusalimia unaacha simu ndan unaenda Dar had Moro unarudi hakuna hata missed call wala sms......
Dah umeongea kweli
 
Bora umechoka,make ulikuwa ni ujinga unafanya,watu wako bize na mkwanja we unawasumbua tu
 
Nimechoka kujipendekeza. Kila siku mie ndo nianze kusalimia watu au kuanzisha convo kwa watu ambao mie sio priority kwao tena.

Wale watu ambao unatuma text inajibiwa baada ya wiki then wanaanza na topic nyingine Alafu Wewe Km bwege unajibu hapo hapo na uko fasta wakati wao wakijisikia Alafu unapewa sababu oh nipo bize au nn wakati muda wote mkwanja.

Nimechoka kila mtu ale ana zake; nimechoka urafiki wa aina Iyo ya kutumiwa Au hata kutafuta Mapenzi ya aina iyo bora niwe peke yangu na mawazo yangu tu.
Huna akili
 
Back
Top Bottom