Candyscorpion
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 769
- 790
Afu utackia wanawake wngi endeleen kuringa!!!c mnamuona hyu mwanaume mwnznu hahahahaha
mtoa mada anatuchanganya.Inamaana shughuli zako zinakubana kujichanganya na watu inamaana katika shughuli zako hufanyi ata mawasliano na watu?? Elezea shida yako vizuri maana kama ni kujichanganya na watu unajichanganya sana labda unataka mtu wa tofauti na hao unajichanganya nao
Kwa hilo oa mwenye shughuli kama masomo, au kazi inayomuweka bize au fanya long distance mahusiano kwa muhusika mwenye maisha ya ubize ili muwe sawa vinginevyo utalizwaSitafuti mke, ila naomba ushauri, nikiwa naye ntaishije, au atanichukuliaje, muda mwingi niko mbali naye
Kweli kabisa kuwa single nayo pia ina raha yakeKwa hali ya mahusiano ya sasa hivi na uaminifu ulivyokuwa adimu nakushauri kwa utulivu wa moyo wako na kwa usalama wa afya yako...na kwa maendeleo yako binafsi bila ya kusahau amani ya moyo wako....nakushauri endelea kuwa PEKE YAKO....kwani ni kheri nusu shari kuliko shari kamili......
Afu utackia wanawake wngi endeleen kuringa!!!c mnamuona hyu mwanaume mwnznu hahahahaha
oa anayesafiri kama wewe
Nipe hiyo experience mkuu maana hata mimi ni mhangaWe njoo kwangu mi ntakupa experience ya kuishi singo
Wakuu habari zenu,
Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.
Msaada tafadhali
Tehe!Kwa hali ya mahusiano ya sasa hivi na uaminifu ulivyokuwa adimu nakushauri kwa utulivu wa moyo wako na kwa usalama wa afya yako...na kwa maendeleo yako binafsi bila ya kusahau amani ya moyo wako....nakushauri endelea kuwa PEKE YAKO....kwani ni kheri nusu shari kuliko shari kamili......
Rubi mbona umeondoa kapicha Kako? .... Nakapenda sana naomba ukarudisheNjoo tuishi wote maana hata mimi nimechoka kuishi mwenyewe atiii nakua kama bubu hata wakuongea nae kwa simu sinaaa
Ngoja nijaribu, maana dahOa upate wa kuishi nae
we jamaa kamamimi yani dah...af michepuko haiji ...mademu nao hawaji huu ubusy huu...demu wangu busy kwako anabannwa kwao mara kazi nazo...yani nawaza nka...wahay.....BAAAD NEVER WILLWakuu habari zenu,
Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.
Msaada tafadhali