Nimechoka kuishi mwenyewe

Nimechoka kuishi mwenyewe

Sitafuti mke, ila naomba ushauri, nikiwa naye ntaishije, au atanichukuliaje, muda mwingi niko mbali naye

Uko mbali naye una maanisha mchana nyakati za kutafuta ridhiki au huwa una safiri mara kwa mara.....!!??
 
Nasafiri mara kwa mara

Kwa hali ya mahusiano ya sasa hivi na uaminifu ulivyokuwa adimu nakushauri kwa utulivu wa moyo wako na kwa usalama wa afya yako...na kwa maendeleo yako binafsi bila ya kusahau amani ya moyo wako....nakushauri endelea kuwa PEKE YAKO....kwani ni kheri nusu shari kuliko shari kamili......
 
Wakuu habari zenu,

Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.

Msaada tafadhali

Hata kama hutulii nyumbani kwani huko unakosafiri hakuna wanadamu wa kike wa kuongea nao na kuwaeleza tatizo lako.
wanaume siku hizi mna matatizo gani? mnalilia tu!Aibu hii
 
sasa itakuwa hv hadi lini
 
Hata kama hutulii nyumbani kwani huko unakosafiri hakuna wanadamu wa kike wa kuongea nao na kuwaeleza tatizo lako.
wanaume siku hizi mna matatizo gani? mnalilia tu!Aibu hii
Hapa tunazungumzia mke, sio ishu nyingine
 
Hapana, nipo vizuri tu, nimeeleza tatizo tayari hapo juu
Ok. Sasa cha kufanya hamia Kigamboni. Yani pale kivukoni kuna watatoto wakali wa kila type.... Yani we ukipanda kivuko tu ni full kujichanganya. So ukipanda asubuhi ni kujichanganya, ukipanda mchana ni kujichanganya, ukipanda jioni ni kujichanganya. I believe ukipanda kivuko kwa mwezi tu utakuwa umeshapata konection na watoto wa kali zaidi ya hamsini... Hapo ushindwe mwenyewe tu.
 
Hadi wewe utakapoamua kuoa kutoka moyoni na sio kwa sababu ya upweke bali kwa kumpata yule ambaye ataushibisha moyo wako kwa furaha na amani na wewe mwenyewe utakapo andaa mazingira ya kuishi na mke....
Mkuu na haya magonjwa
 
ahahaa naona unanipeperushia ndege wangu.mbona watu wanabeba box ulaya na wake zao wapo bongo wametulia?

Na upweke alionao ataanzaje kuruka.....ndege ni wako mpwa....andaa tu tundu na chakula cha kumrisha.....
 
Inamaana shughuli zako zinakubana kujichanganya na watu inamaana katika shughuli zako hufanyi ata mawasliano na watu?? Elezea shida yako vizuri maana kama ni kujichanganya na watu unajichanganya sana labda unataka mtu wa tofauti na hao unajichanganya nao
 
Wakuu habari zenu,

Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.

Msaada tafadhali
Kuna baadhi ya mambo lazima uwe makini wewe mwenyewe kwanza kabla hujaomba ushauri,kwa swali lako tu inaonesha bado hujafanya utafiti wa kina kuhusu aina ya mwenza unaye muhitaji.
 
Wakuu habari zenu,

Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.

Msaada tafadhali
njoo kwangu na mie pia nimechoka kuishi mwenyewe hata mie nabanwa ....
 
Back
Top Bottom