Nimechoka kuishi mwenyewe

Nimechoka kuishi mwenyewe

we jamaa kamamimi yani dah...af michepuko haiji ...mademu nao hawaji huu ubusy huu...demu wangu busy kwako anabannwa kwao mara kazi nazo...yani nawaza nka...wahay.....BAAAD NEVER WILL
Mkuu upo sahihi, sijui hiii hali itanitoka lini, sijui nibadilishe kazi, ila tatizo kipato
 
majaribu tu...af hutokea mwanaume ukiwa umetulia yani sio kicheche..huwa life hili bhana sometime basi tu....ila mtu akiwa kicheche hayuko idle ana enjoy hana stress za rlationship...af kukimbilia kuoa pia jamnga...uaambiwa tulia uwe nao kadhaa upime upate mmoja....sijui hatujui kuwatokea mademu...ishu sijazoea uongo kuwadanganya mademu...ukweli sanaunaponza....ila streess too much ngoja nizuge nisake wawili watatunkae sawa kichwani
 
Utafanikiwa tu mkuu,usijali
 
Njoo tuishi wote maana hata mimi nimechoka kuishi mwenyewe atiii nakua kama bubu hata wakuongea nae kwa simu sinaaa

ahaaaaa rubii naona dalili za kufungua uzi wa kutuambia yaliyokukuta! Dah mitandaoni kuna mwanaume serious na yuko ndani ya vigezo vyako? Jaribu dia utuletee mrejesho.
 
ha ha ha aa nina mrejesho wa Mheshimiwa flani hiviii ngoja niupike upikike kesho nitauretaaaa
 
Mwombe Mungu akupe Mume mwema uolewe sasa, kwani una umri gani bibie?
 
majaribu tu...af hutokea mwanaume ukiwa umetulia yani sio kicheche..huwa life hili bhana sometime basi tu....ila mtu akiwa kicheche hayuko idle ana enjoy hana stress za rlationship...af kukimbilia kuoa pia jamnga...uaambiwa tulia uwe nao kadhaa upime upate mmoja....sijui hatujui kuwatokea mademu...ishu sijazoea uongo kuwadanganya mademu...ukweli sanaunaponza....ila streess too much ngoja nizuge nisake wawili watatunkae sawa kichwani
-Do not be disappointed.
-Patience is power.
-Believe in yourself, Never compare your attitude, perceptions and your lifestyle with other people.

I hv passed in the same situation, its really messing up and confusing but I finally discovered a complete solution and am okay now in my mind set, spiritualy,bodly n everything.

What You should do:- Tulia, jiamini, kuwa busy kufanya mambo yako ya muhimu bila kujilinganisha na watu au kuona umechelewa.

Solution: Kuwa na uhusiano mzuri na Mungu wako (Kama unamwamini) halafu mwombe akupe binti sahihi kwako. Ukiwa serious...be sure Atakupa.
 
Ok. Sasa cha kufanya hamia Kigamboni. Yani pale kivukoni kuna watatoto wakali wa kila type.... Yani we ukipanda kivuko tu ni full kujichanganya. So ukipanda asubuhi ni kujichanganya, ukipanda mchana ni kujichanganya, ukipanda jioni ni kujichanganya. I believe ukipanda kivuko kwa mwezi tu utakuwa umeshapata konection na watoto wa kali zaidi ya hamsini... Hapo ushindwe mwenyewe tu.

Huyu sijui yuko namna gani vp!
Anasema hataki wa kugandana gandana, nadhani ameathirika na upweke. Kupata anayemtaka na akapendwa kweli ni shida. Huyu apate wale wale mwendo kasi kwanza halafu ndo atafute wa kutulia nae!.
Hajui mapenzi wala mahaba yupo yupo tu. Sio idara yake hiyo.
 
Hajielewi!
 
Weka jiko ndani hata la mchina kama la gas ni garama kwako
 
Sasa kama utakua mbali naye si mnaondoka wote ili usiwe mwenyewe ndugu.
 
tafuta mtoto wa kisukuma..hao hawanaga shida hata kama utasafiri mwezi mzima utamkuta tu..!! ila asiwe mjanja mjanja...
 
Back
Top Bottom