Nimechoka kuishi mwenyewe

Nimechoka kuishi mwenyewe

Onyx said
Sitafuti mke, ila naomba ushauri,
nikiwa naye ntaishije, au
atanichukuliaje, muda mwingi niko
mbali naye

Hiyo haina shida mkuu kwa sbb anajua upo kweny majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku
mawasiliano ni ya muhimu sana jaribu kumpigia simu kila siku sio zinapita siku 4 hamjawasiliana unaweza kumsababishia kuchepuka. Utakaporudi huko mpelekee zawadi nyingi, pia Km una nafas hebu jarib kusafir naye km hana mtoto mara moja moja au uwe unamtumia nauli anakuja huko kweny shughuli yako siku moja moja
Km hana kaz mpe shughuli yaan mfungulie biashara utakayomfanya awe busy sbb akiwa home tu hana shughuli yyte hata km umpe mahitaji yote ni rahic kuchepuka weng wao.
Kuna baadhi wao wananyota ya kuchepuka hata umfanyaje ila wengine hawana hii mambo.
Ila kwa sasa wanawake waliolewa wamepunguza sana kuchepuka sbb wanajua kuchepuka kuna hasara sana kuliko faida na jins walivyoweng wanajua nikicheza tu mwanamke mwingine atachukua nafas.
 
Inamaana shughuli zako zinakubana kujichanganya na watu inamaana katika shughuli zako hufanyi ata mawasliano na watu?? Elezea shida yako vizuri maana kama ni kujichanganya na watu unajichanganya sana labda unataka mtu wa tofauti na hao unajichanganya nao
Upo sahihi
 
Kwa hali ya mahusiano ya sasa hivi na uaminifu ulivyokuwa adimu nakushauri kwa utulivu wa moyo wako na kwa usalama wa afya yako...na kwa maendeleo yako binafsi bila ya kusahau amani ya moyo wako....nakushauri endelea kuwa PEKE YAKO....kwani ni kheri nusu shari kuliko shari kamili......
Duh huu ushauri ulivyotolewa kwa msisitizo inaonesha hali ni mbaya sana.....eti heri nusu shari.
 
Bado mkuu sijampata mwenza, pia nawaza na hii mihangaiko yako, hv kweli ntaweza au atanionaje muda mwingi sipo
Only a broke man will give you all of his time.
 
Hiyo haina shida mkuu kwa sbb anajua upo kweny majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku
mawasiliano ni ya muhimu sana jaribu kumpigia simu kila siku sio zinapita siku 4 hamjawasiliana unaweza kumsababishia kuchepuka. Utakaporudi huko mpelekee zawadi nyingi, pia Km una nafas hebu jarib kusafir naye km hana mtoto mara moja moja au uwe unamtumia nauli anakuja huko kweny shughuli yako siku moja moja
Km hana kaz mpe shughuli yaan mfungulie biashara utakayomfanya awe busy sbb akiwa home tu hana shughuli yyte hata km umpe mahitaji yote ni rahic kuchepuka weng wao.
Kuna baadhi wao wananyota ya kuchepuka hata umfanyaje ila wengine hawana hii mambo.
Ila kwa sasa wanawake waliolewa wamepunguza sana kuchepuka sbb wanajua kuchepuka kuna hasara sana kuliko faida na jins walivyoweng wanajua nikicheza tu mwanamke mwingine atachukua nafas.
Mkuu mchango wako nimeupokea kwa mikono miwili, hata mimi nafikiria muda mwingine lazima nisafiri naye. Nakushukuru sana
Only a broke man will give you all of his time.
Kwa hiyo unanishauri nini
 
Back
Top Bottom