Nimechelewa dakika 5 kwenye interview

Nimechelewa dakika 5 kwenye interview

accountant D

Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
46
Reaction score
17
Nimesomea accountancy,degree level.nimekuwa nikitafuta kazi mwaka unaisha sasa.bahati nzuri i applied for pwc graduate recruitment and got shortlisted.I did the aptitude test and passed.I could see light at the end of the tunnel.I was called for first interview.i was happy,getting a job at pwc is a jackpot and life dream for an aspiring accountant.I prepared well and woke up at 5:30 am in the morning.

By 6:30 i was out of the house.the interview was to take place saa tatu na nusu.nilijua nina mda wa kutosha.nilifika oysterbay saa tatu nikaanza kutafuta ofisi.kila unaemuuliza hajui.nilipata shida kuilocate but finally niliipata.ubaya nilichelewa dakika tano.nimeingia tu interview hicho ndo kitu cha kwanza kuambiwa.sikupata mda wa kuapologize sababu maswali yalianza immediately.

Maswali nimeyajibu vizuri but inaniuma sana nikikosa hii kazi sababu ya kuchelewa dakika tano.vipi guyz,do i still have a chance of being hired after this?..

HR wa JF nipeni mtazamo wenu please.

Nipeni njia ya kutoa haya machungu .sababu siwez kufanya chochote sa hizi.najilaumu na najichukia kwa hili..
 
That waz not yours mzeeya! so subria yako na yeye atachelewa na we utawahi kama kawa.
 
Ha ha haa sometimes the shit happen!
Hata mimi nakumbuka niliitwa interview na recr agent saa nne asubuhi. Basi niliwah kuamka nikajiandaa na hali ya hewa ilikua shwari tu that day. nikakalkuleti kutoka hapa nilipo mpaka posta kny intavyuu ni mwendo wa nusu saa tu plus nusu saa ya kusubiri na kujiweka fit room temp jumla lisaa limoja. basi ivofika mbili na nusu nikajongea kituoni. hatua mbili tu halahaulaa! Mua sijui wapi ilipotokea! Kama ujuavyotena siku ya intavyuu mtu unapojikip smart. Nkasema ngoja nijibanze ikate, Mwee lisaa lizima mvua haiachi. Nikacheki na bodaboda, Kumbe zilishakatazwa mjini! Daaah nikajitosa kwenye daladala foleni gani! Yani nilikua kama chizi. Mpaka nafika intavyuu rum saa tano badala ya nne. Nikadiskwalifai palepale thoo nilijitetea sanaa.
Iliniuma!
 
hizi ID hizi.
 
masterkey well noted good advice kwa wengine pia tunajifunza hapo sio mpaka yakutokeee..ila pole sana
 
Kujua sehemu ya interview na kuwahi ni sehemu ya interview. Hata hivyo una bahati wamekubali kuku interview
 
5 mins it's okay esp kama umejib maswal yao vizur bcoz maswal yao huwa ni ya kupima skills so u might be lucky..ila kama wote mmejib vzur and thr are limited opportunities apo watakudisqualify...otherwise just chill muombe Mungu...ukipata ni sehem nzur sana ya kujifunzia kaz..however to become a successful accountant sio lazima uanzie big 4..so usijione umeloose sn kama ukikosa
 
pole sana kama walivyosema kama ipo ipo tuu, mi nakumbuka nilichelewa dakika 15 na nilivyofika nikasema nimeshachelewa ngoja nipange lifti naenda ghorofa ya tano, jamani kama ilikuwa mkosi lifti isigome na haifunguki, sitasahau hiyo siku zile dk 15 zikaongezeka,mpaka kuja kutolewa mapigo ya moyo hayako vizuri na hasira za kuchelewa nikaumwa ghafla wenye ofisi wakanipeleka hospitalini, ila nilimshukuru Mungu waliniita tena kwa interview na nikapata na mpaka sasa nipo.jipe matumaini ondoa wasiwasi
 
Kama wasaili wanafahamu hali halisi ya mji wetu, kuchelewa dakika tano si kitu. Naamini utatakata...
 
apo ndo uelewe kua kupata kazi sio ujanja wako..ni Mumba wetu ndio anaetoa rizki...Weka ahadi na Muumba wako ukipata kazi hii mshahara wa mwanzo baada kutoa mahitaji yako ya lazima utawapa watoto mayatima...au utafuta mtu masikini mtaani ili aanzishe japo mradi wa kuuza vitumbua...au maandazi...au kumnunulia mlemavu baiskeli ya maringi matatu....pia usimsahau kumfurahisha mama yako na baba yako mshahara wa mwanzo...kama wan uwezo wanunulie japo nguo mpya...kama ni masikini watengenezee chumba wanacholala.....
 
pia unatakiwa kusoma body language...sababu kua hawakukupa muda wa kuomba samahani juu ya kuchelewa kwako..ni ishara ya kuwa 5 mins was not an issue...
 
Vitu vya kufanya kabla ya interview. Kujiandaa wewe mwenyewe ikiwa na kujua location ya ofisi unayokwenda kufanya interview, kujua hata administration yake, kujua malengo ya kampuni au shirika ilo, kuonekana vizuri au nadhivu katika mavazi yako na kufika mapema saa moja kabla ya interview.
Siyo vizuri ufike unakimbia uku unahema maana nayo kama utaonekana inakupunguzia maksi zako utaonekana hujui kupanga muda wako vizuri. Cha kujiuliza iweje wewe mtahiniwa uchelewe ila wao wafike mapema, ina maana wamelala hapo ofisi? Ni kwamba walijiandaa

Pole sana lakini siku nyingine jifunze kutafuta na kujua location kabla ya siku ya interview.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Ni ustaarabu kupiga simu kama dk 10 kabla kusema 'im running a bit late, but i will be there in say 15 minutes?'

inakera sana, watu wamekaa wangeweza kusoma emails ama walau kwenda kunywa chai ama toilet halafu hautokei. Unakuwa umewapotezea muda watu wengi.
 
Mwenzio niliitwa kwenye interview hapa mjini ilinilazimu nimtafute mtu siku 1 kabla akanipeleka sehemu ya tukio ili nipajue. Then sku iliyofuata nakumbuka nilisaidiana na workman kufungua milango jinsi ajira zilivyokua ngumu. Nashukuru mungu aliniona nilivyoteseka akaamua kufungua njia. Ila usife moyo kama ni nafasi yako yeye aliye mkuu zaidi atafanya njia.
 
Mie nakuombea uipate hii kazi, fundisho katika siku za usoni kama huifahamu ofisi itakayofanyika interview basi ni vizuri ukaenda kuitafuta siku mbili/tatu kabla ya interview ili kuepuka kuchelewa. Kila la heri.
 
Nimesomea accountancy,degree level.nimekuwa nikitafuta kazi mwaka unaisha sasa.bahati nzuri i applied for pwc graduate recruitment and got shortlisted.I did the aptitude test and passed.I could see light at the end of the tunnel.I was called for first interview.i was happy,getting a job at pwc is a jackpot and life dream for an aspiring accountant.I prepared well and woke up at 5:30 am in the morning.

By 6:30 i was out of the house.the interview was to take place saa tatu na nusu.nilijua nina mda wa kutosha.nilifika oysterbay saa tatu nikaanza kutafuta ofisi.kila unaemuuliza hajui.nilipata shida kuilocate but finally niliipata.ubaya nilichelewa dakika tano.nimeingia tu interview hicho ndo kitu cha kwanza kuambiwa.sikupata mda wa kuapologize sababu maswali yalianza immediately.

Maswali nimeyajibu vizuri but inaniuma sana nikikosa hii kazi sababu ya kuchelewa dakika tano.vipi guyz,do i still have a chance of being hired after this?..

HR wa JF nipeni mtazamo wenu please.

Nipeni njia ya kutoa haya machungu .sababu siwez kufanya chochote sa hizi.najilaumu na najichukia kwa hili..

pole sana man ila dont give up kam ipo, ipo 2
 
apo ndo uelewe kua kupata kazi sio ujanja wako..ni Mumba wetu ndio anaetoa rizki...Weka ahadi na Muumba wako ukipata kazi hii mshahara wa mwanzo baada kutoa mahitaji yako ya lazima utawapa watoto mayatima...au utafuta mtu masikini mtaani ili aanzishe japo mradi wa kuuza vitumbua...au maandazi...au kumnunulia mlemavu baiskeli ya maringi matatu....pia usimsahau kumfurahisha mama yako na baba yako mshahara wa mwanzo...kama wan uwezo wanunulie japo nguo mpya...kama ni masikini watengenezee chumba wanacholala.....

aisee hata nishafanya hivyo.nimeweka ahadi na mungu kuwa kiasi flani cha mshahara wa hio kazi ntatoa sadaka na kuwasaidia wasiojiweza.nashukuru sana ndugu kwa ushauri..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom