Nimecheka sana.chekeni na nyie.

Nimecheka sana.chekeni na nyie.

Story ya kuhuzunisha ilitakiwa ianzie gorofa ya 61 na wala sio 89....

Hujamuwelewa ana maana alipofka ghorofa ya 61 akaanza kupiga stor za huzun lakn alipofka ghorofa ya 89 akamalzia na hyo tor
 
naghair kwenda kulala aisee!!!
huyu jamaa wa3 stor yake imebase kwenye true stor....
 
woote watatu hakuna aliyekumbuka funguo!! mambulula kweli.
 
mwingine angeleta story ya furaha ya umeme kurudi kwa hyo lift ingetumika
 
Back
Top Bottom