Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 14,195
- 25,957
Jamani leo kuna thread nimesoma nimecheka hadi mbavu zikauma, nikaona niilete huku kwenye jokes na wengine wafaidi.
Katika kujadiri Mawaziri wanaoweza kuongea Kiingereza kwa ufasaha, mwana JF mmoja amesema katika kipindi fulani Mheshimiwa sana kiongozi fulani machachari wa Bunge alitumia neno "the TV lookers" akimaanisha watazamaji wa TV!!!
Ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!! Ooooh mama mbavu zangu!!!!
Imagine;
Ze lookers at home looking at zis TV period!
Ha ha ha ha ha ha ha ha !!!!!!