Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

Tukiwaambia.,..

KATAA NDOA NI UTAPELI

Mnatucheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Hajasema yupo kwenye ndoa wala hajasema kama ana malengo ya kumuoa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sasa kama zipo kwako zilitoka wapi???

Kwani wewe ndo uliwarekodi??

Hawaku reason kwamba kuna mtu wa 2 anazo na wewe ni wa 3?

Iko hivi baada ya kuona dharau zimezd niliamua kum suprise iPhone siku ya birthday bila kujua nili set icloud yangu kabs so kila picha na video anazorecord naweza kuaccess na location pia.

Watumiaji wa iPhone watakuwa wamenielewa nilizipataje video wakiwa wanarecord wakiwa room wamelala hata wakiwa kwenye forester pia.
 
Alpha 1 ....... reporting from terrorist sites this is alpha 1 ...copy sir....

Man down.......I repeat....man down View attachment 2988178
Maskini daah afya ynyw mgogoro afu anashabikia timu kinda kindaki duuh 😄 timu zinatufaidisha kwny kubeti tu mi naeza nkabeti timu yangu ifungwe Kwa vile uhalisia unaaonekana wabov
 
Naomba niishie hapa.umeongea vema
Uzi na uishie hapa. Kila mtu atumie viungo vya mwili wake kadri anavyoona inafaa. Akiliwa hujaliwa wewe. Kuna vitu havitakiwi kukuumiza kabisa. Tafuta hela fanya malengo yako. Kula mademu wengi kadri unavyoona inafaa. Kula bata kwa namna nyingine unazopenda. Maisha ni matamu. Anaeliwa na aliwe. Kiungo ni chake.
 
Dawa ni kujitundika tu ili wote mkose.
Nikuletee kamba gani; mkonge au manila?

Ushauri: tumia manila m
aana manila haikucheleweshagi. Yaani Unavuta fasta sekunde tu uko mbinguni
 
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya hili kisa nilishindwa kumlipia kodi mwezi uliopita kupitia hali yangu mbaya kazini.

Niliamua tu kumchunguza baada ya kuona dharau zimezidi kumbe nachapiwa huko nje. Nimeamua kumuacha rasmi bila kumuuliza kitu maisha mengine yaendelee yani kisa tu mwanangu una forester ukapita na pisi yangu fresh.

Asanteni sana [emoji1360]
Halafu hapo unakuta una ndugu yako ameishiwa ada au yupo hospitali hukumsaidia ukaishia kuhonga 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Maisha yana mambo mengi sana.
 
Mimi nmechapiwa mara thelathini na tatu kama umri wa Yesu

Jipe moyo mkuu wangu
 
NI sahihi kuwa sababu kubwa ya mwanamke kuchepuka hapa Bongo ni njaa. Wanaume wenye uwezo kutimiza haja zote za mwanamke kiuchumi hapa Bongo hawafiki hata asilimia 5 ya wanaume wote. Mwanamke anataka kodi, IPhone, pesa ya umeme, kusuka, kucha, hela ya kula, vikoba n.k. Hakuna mwanaume mmoja wa kutimiza yote hivyo inabidi awe nao angalau watatu wasaidiane hayo majukumu.

Na wale wachache walioridhika na hali za kiuchumi za wenza wao nao unakuta hawakojozwi na hao wenza wao. Wataenda kwingine kutafuta kukojozwa.

Wale walioridhika na hali za kiuchumi na pia wanakojozwa vyema bado wanaweza kutamani mionekano ya wanaume wengine. Wanaweza kujikuta wakiliwa pia.

Bado kuna wale watakaovutiwa na mwanaume kutokana na kutendewa wema ama kupewa huduma nzuri kwenye vitu kama gym training, daktari hospitali, mwanasheria, bodaboda wake, mfanyakazi mwenzie, bosi wake, kaka mpaka rangi n.k

Nashauri ACHA KUMTEGEMEA MWANAMKE KIHISIA. Wakati mwanaume sababu yake kuu ya kuchepuka ni tamaa za kimwili Mwanamke ana sababu lukuki. Usijipe jukumu la kuhakikisha eti mwanamke fulani anakuwa wako peke yako. Utajiumiza bure. Piga kama wanavyopiga wengine.
Ufafanuzi mzuri sana
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani na kwa hali ya sasa 99% wanachapiwa na 50% ya hao wanajua ila wanakula ganzi maisha yaendelee, mwanaume ambae hajawahi kuchapiwa anyoshe mkono
downloadfile-359.jpg
 
Back
Top Bottom