Tuambiane ukweli kua mwanaume inahitaji ujasiri , ukatili na roho mbaya wakati mwingine.
Ukiwa mwanaume hakuna wakat utaambiwa sasa ni wakati wa kutafuta au utatafuta hivi ..
kuzidiwa ni sehem ya maisha mwana wa forster kakuzidi kete usi mind chukulia changamoto push utoke apo ulipo usukume kitu na ww ukachape ya mtu.
Asilimia kubwa ya mahusiano saivi tuna porana tu .. Dem alikua wa yule una mchukua anakua wako swali ni je unavyo vinavyo staili kumtuliza.. maana tamaa kitu hii huwa beba wanawake.
binafsi huona mausiano kama falme kuna nyakati ngome yang itavamiwa na inaweza ikabebwa na mi falme yenye mi guvu ... ila mbinu na strategy za kujilinda zitakufanya ukae mda mrefu ngomeni ..(jijenge kiuchumi kuimarisha ngome yako)
la mwisho pole comrade ... tafuta kambi dhaifu vamia beba ya mtu ukishindwa cheza alliance ila jua unazidiwa kete dharau na nyodo zitakua nying