Mtumie hizo video hlf achana nae......ipo siku zitavuja hlf atalia na kusaga meno.
Wanaume wenye forester nao watu basiiii,......pyee
Nipo hapa na "Geisha" wangu.Kuchapiwa ni siri ya ndani na kwa hali ya sasa 99% wanachapiwa na 50% ya hao wanajua ila wanakula ganzi maisha yaendelee, mwanaume ambae hajawahi kuchapiwa anyoshe mkono
Usalama wapi banaaa angejirekodi [emoji23][emoji23]Demu anasema mwenye forester usalama niwe makini hatak yanifike mabaya. Nacheka kama mazur [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani angekuwa na hela ndio ingekuwa kinga ya kutochapiwa.? Hapana. Watu wana majumba, magari ya maana na wanachapiwa na watu wa kawaida kabisa wasio na mbele wala nyuma. Suluhisho ni kukataa Kumtegemea mwanamke Kihisia. Pesa atafute kwa ajili ya manufaa yake lakini hata awe nazo kama za MO Dewji sio guarantee ya kutochapiwa.Huu uchungu ungeuweka kwenye kukosa hela mi nakwambia ungekuwa unaongea mengine now. Usingekuwa unalalamika kabisa
Hebu kasirika kukosa hela alafu pambana sana
Sio kila mwanamke anayechit anafuata ngono, wengine njaa, tamaa na laana za umasikini wao zinawafanya kugongeka nje ya mahusiano yao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wait, taratibu mkubwa..... ulikua hujui kutoamba au shida ni nini?
Tafuta hela ule bata ndugu mambo ya kusononeka kisa umechapiwa waachie wasio na hela.Nimeamua kumuacha rasmi
Uza madafu kimya kimyaMuue au ukishindwa, Jiue wewe tu.
Na zinavyopendwa na wadada 🙌yani kisa tu mwanangu una forester
NI sahihi kuwa sababu kubwa ya mwanamke kuchepuka hapa Bongo ni njaa. Wanaume wenye uwezo kutimiza haja zote za mwanamke kiuchumi hapa Bongo hawafiki hata asilimia 5 ya wanaume wote. Mwanamke anataka kodi, IPhone, pesa ya umeme, kusuka, kucha, hela ya kula, vikoba n.k. Hakuna mwanaume mmoja wa kutimiza yote hivyo inabidi awe nao angalau watatu wasaidiane hayo majukumu.Sio kila mwanamke anayechit anafuata ngono, wengine njaa, tamaa na laana za umasikini wao zinawafanya kugongeka nje ya mahusiano yao.
Mwanamke yuko tofauti na mwanaume kwamba achepuke sababu ya ngono,
Mwanaume hisia za ngono ziko muda wote, sometime hatosheki hata apewe wake 10.
Narudia tena mwanamke mpaka anaamua kuchepuka anakuwa kavutiwa na material things za mwanaume fulani ambazo mpenzi/mme wake hana nje ya ngono mfano pesa za mwanaume, umaarufu wa mwanaume.
Mwanamke anayechit kwa sababu ya tamaa za kingono huyo anakuwa kavuka level za malaya wa daraja la chini, na mara nyingi wanawake wenye tamaa ya kimwili pekee ni asilimia(% ) chachee mno na wengi wao ni hawa wanawake wajane, wenye waume wagonjwa ama wake za watu ambao nao waume zao wako bize na kazi, tofauti na hapo usidanganyike eti mwanamke kuchiti sababu ya mme/mpenzi wake hajiwezi kitandan au hana mbwembwe kitandani huo ni Umalaya wanawake hisia zao katika ngono ni ndogo sana kwamba wawe wa kupapalika na vidume nnje ya mahusiano.
Kataa wanawake kausha damu, kataa wanawake wa hovyovyo, kataa mahusiano ya mchongo
Mkuu umesema yote, kuna muda ni bora uonekane tu hujali baadhi ya mambo, wanaume tunapitia mambo mengi mazito. Nashukuru Mungu niliyajua maumivu ya usaliti mapema mno na yaliniyumbisha kwa kiasi fulani ila nilivyokuja kukaa sawa huwa sihangaiki na mtu alieamua kutumia kiungo chake.Tuambiane ukweli kua mwanaume inahitaji ujasiri , ukatili na roho mbaya wakati mwingine.
Ukiwa mwanaume hakuna wakat utaambiwa sasa ni wakati wa kutafuta au utatafuta hivi ..
kuzidiwa ni sehem ya maisha mwana wa forster kakuzidi kete usi mind chukulia changamoto push utoke apo ulipo usukume kitu na ww ukachape ya mtu.
Asilimia kubwa ya mahusiano saivi tuna porana tu .. Dem alikua wa yule una mchukua anakua wako swali ni je unavyo vinavyo staili kumtuliza.. maana tamaa kitu hii huwa beba wanawake.
binafsi huona mausiano kama falme kuna nyakati ngome yang itavamiwa na inaweza ikabebwa na mi falme yenye mi guvu ... ila mbinu na strategy za kujilinda zitakufanya ukae mda mrefu ngomeni ..(jijenge kiuchumi kuimarisha ngome yako)
la mwisho pole comrade ... tafuta kambi dhaifu vamia beba ya mtu ukishindwa cheza alliance ila jua unazidiwa kete dharau na nyodo zitakua nying
Evelina unakulaga GANJA mama?🤣🤣🤣🤣wait, taratibu mkubwa..... ulikua hujui kutoamba au shida ni nini?
NakaziaTea...
Nimetumia hizo video kaja home na police. Wamekagua simu yang na kufuta video zake wakiwa kitandani na mwenye forester.
Nimetishiwa maisha endapo nikivujisha maisha haya jaman nichapiwe na kutishiwa maisha haya bhana.
Mkiona kimya ujue nimetekwa. [emoji28]
Demu anasema mwenye forester usalama niwe makini hatak yanifike mabaya. Nacheka kama mazur [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmenishaur vibaya kaja na police wamekagua simu zangu zote na mm pia nimeomba simu yang niliyomnunulia siku ya birthday iphone x nikampe tu bi mkubwa aache tu kutumia infinix [emoji23]