Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

Sio kila mwanamke anayechit anafuata ngono, wengine njaa, tamaa na laana za umasikini wao zinawafanya kugongeka nje ya mahusiano yao.

Mwanamke yuko tofauti na mwanaume kwamba achepuke sababu ya ngono,

Mwanaume hisia za ngono ziko muda wote, sometime hatosheki hata apewe wake 10.

Narudia tena mwanamke mpaka anaamua kuchepuka anakuwa kavutiwa na material things za mwanaume fulani ambazo mpenzi/mme wake hana nje ya ngono mfano pesa za mwanaume, umaarufu wa mwanaume.

Mwanamke anayechit kwa sababu ya tamaa za kingono huyo anakuwa kavuka level za malaya wa daraja la chini, na mara nyingi wanawake wenye tamaa ya kimwili pekee ni asilimia(% ) chachee mno na wengi wao ni hawa wanawake wajane, wenye waume wagonjwa ama wake za watu ambao nao waume zao wako bize na kazi, tofauti na hapo usidanganyike eti mwanamke kuchiti sababu ya mme/mpenzi wake hajiwezi kitandan au hana mbwembwe kitandani huo ni Umalaya wanawake hisia zao katika ngono ni ndogo sana kwamba wawe wa kupapalika na vidume nnje ya mahusiano.

Kataa wanawake kausha damu, kataa wanawake wa hovyovyo, kataa mahusiano ya mchongo
Weeeee apiaa
 
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya hili kisa nilishindwa kumlipia kodi mwezi uliopita kupitia hali yangu mbaya kazini.

Niliamua tu kumchunguza baada ya kuona dharau zimezidi kumbe nachapiwa huko nje. Nimeamua kumuacha rasmi bila kumuuliza kitu maisha mengine yaendelee yani kisa tu mwanangu una forester ukapita na pisi yangu fresh.

Asanteni sana [emoji1360]
sasa mbona yameisha,unechapiwa,na umemuacha,basi
 
1.Kanunue forester
2.Kama namba 1 haiwezekani basi hakikisha tunaichukia forester kwer kwer hiiiiih
 
Bila picha/video uzii huu sio legit 🏃🏃🚭🚭
 
Why give a bitch your heart when she'd rather have a purse?
Lil Wayne ~Loyal
 
Sema umechapiwa MARA MYINGI TU ila mara hii ndo umemfuma!
Umechapiwa sana chief.
 
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya hili kisa nilishindwa kumlipia kodi mwezi uliopita kupitia hali yangu mbaya kazini.

Niliamua tu kumchunguza baada ya kuona dharau zimezidi kumbe nachapiwa huko nje. Nimeamua kumuacha rasmi bila kumuuliza kitu maisha mengine yaendelee yani kisa tu mwanangu una forester ukapita na pisi yangu fresh.

Asanteni sana [emoji1360]
Kweli sisi ndiyo wakutupa dole tupu lisilo na ukucha?Poa tu.
 
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya hili kisa nilishindwa kumlipia kodi mwezi uliopita kupitia hali yangu mbaya kazini.

Niliamua tu kumchunguza baada ya kuona dharau zimezidi kumbe nachapiwa huko nje. Nimeamua kumuacha rasmi bila kumuuliza kitu maisha mengine yaendelee yani kisa tu mwanangu una forester ukapita na pisi yangu fresh.

Asanteni sana [emoji1360]
Ebu pm hizo video nikupe ushauri mkuu.
 
Hakuna cha Forester, utakuta ulikuwa humkazi vzr, unampapasa tu
 
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya hili kisa nilishindwa kumlipia kodi mwezi uliopita kupitia hali yangu mbaya kazini.

Niliamua tu kumchunguza baada ya kuona dharau zimezidi kumbe nachapiwa huko nje. Nimeamua kumuacha rasmi bila kumuuliza kitu maisha mengine yaendelee yani kisa tu mwanangu una forester ukapita na pisi yangu fresh.

Asanteni sana [emoji1360]
"Ulishindwa kumlipia Kodi" Ni kimada kumbe?hapo haujachapiwa, Hilo Jimbo sio lako,we ulifnya kupita tu, Ku angalia kama unakubalika ugombee, na wenzio wamepita, wamegundua wananchi wanawapenda, na misaada wameanza kutoa!
 
Back
Top Bottom