Nimechapiwa kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe

Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya hili kisa nilishindwa kumlipia kodi mwezi uliopita kupitia hali yangu mbaya kazini.

Niliamua tu kumchunguza baada ya kuona dharau zimezidi kumbe nachapiwa huko nje. Nimeamua kumuacha rasmi bila kumuuliza kitu maisha mengine yaendelee yani kisa tu mwanangu una forester ukapita na pisi yangu fresh.

Asanteni sana [emoji1360]
Huo ni Ubwege kulia lia
 
Kwa mara ya kwanza umechapiwa au kwa mara ya kwanza umegundua kuwa umechapiwa? Una uhakika gani kama haujawahi kuchapiwa kabla?
 
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya hili kisa nilishindwa kumlipia kodi mwezi uliopita kupitia hali yangu mbaya kazini.

Niliamua tu kumchunguza baada ya kuona dharau zimezidi kumbe nachapiwa huko nje. Nimeamua kumuacha rasmi bila kumuuliza kitu maisha mengine yaendelee yani kisa tu mwanangu una forester ukapita na pisi yangu fresh.

Asanteni sana [emoji1360]
😬😬 Ushahidi uko wapi ?? Video iko wapi ?
 
No reform no election ⚒️ 💯
 
Nilijichanganya kipindi niko chuo, nikasahau msemo wa wazee "Ukimchunguza sana bata, hauwezi kumla" fanya sana intelijensia kwenye simu yake, weka kilinge whatsapp na facebook aisee 😃

Nakuja kukuta na jina washapeana la kuitana, toka wakati huo mambo ya mapenzi kuzama miguu yote nilifuta kabisa.

Nyoka akikung'ata ukiona jani shtuka.
 
Back
Top Bottom