Nimechanganyikiwa na ndoa yangu

Tulizana, communication breakdown ndo chanzo cha matatizo mengi sana,kaa naye na umueleze the problem!
 
Cha msingi mkae na mumeo muelezane juu ya haki yenu ya tendo la ndoa na kuishi kwa uadilifu ktk ndoa pia mwombee sana
 
Kwa nini usubiri hadi akuguse? Si mume wako huyo?
Muanze
Na mwambie nataka game
 

Nakubaliana na wewe.
 
hata mi nipo kama mumeo,sijamgusa wife muda sasa and all because kachanga ketu ni very demanding yaani ukimbusu tu mama watoto kenyewe ndo kanalia....i think its normal,but upendo sijapunguza ndp kwanza nimezidisha baada ya kunizawadia bby girl
 
mmhhhh ila ushapewa ushauri mzuri huko juu
 

= tafadhali

Hayo maswali kwanini usimuulize mumeo?
 
Dogo ana wivu huyo....

Wengine vinalala mkianza tu romance kinalia.....


hata mi nipo kama mumeo,sijamgusa wife muda sasa and all because kachanga ketu ni very demanding yaani ukimbusu tu mama watoto kenyewe ndo kanalia....i think its normal,but upendo sijapunguza ndp kwanza nimezidisha baada ya kunizawadia bby girl
 
Ishiiiii
We mda wote huo kukaa kimya ndio nini..

Walahi tena hata kama hajatafuta mchepuko wewe unamshawishi afanye hivyo.

Unafikiri mwenzio anaishije! hebu mpe mambo bana.. . 9Month u must be kidding lolz
 
Maadam wakati wa ujauzito ulipoteza hamu ya tendo na sasa naamini una hamu ya tendo kwa nini usubiri hadi mme akuanze.? Anza wewe na dai haki yako ya ndoa akikataa ndo waweza kutia shaka ... inaonyesha mnategeana
 
Ni kawaida kwa walioingia kwenye ndoa karibuni,anaogopa kupandanisha watoto.na kama hajapata ushauri huenda naye anawaza ukame huu mpaka lini! na labda naye yupo humu anaomba ushauri wa kupata mchepuko.
Ushauri wangu ni kwamba dawa ya ndoa huwa ni mazungumzo baina ya wenye ndoa,msipozungumza mnaweza kujishangaa siku moja kila mtu ana maamuzi yake.Wengi wamekushauri vizuri nami naongezera anza kwa kuzungumza na mwenzio kama ana hofu ya kupata mtoto mwingine mapema basi waone wataalam wa uzazi wa mpango wawashauri muendelee kufurahia ndoa yenu.
 
Miezi 9!!

Kama engine haitumii water for cooling probably kuna other means
 
Jaribu kumtengenezea mazingira..wanaume hawana complications .
 
ahaaaa tatizo inaonekana mumeo imemuambukiza ugonjwa wa juma dede
ahaaaa mtoto hasimam mpaka umwimbie juma dede
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…