1st AID
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 1,079
- 523
Akili ni nywele inawezekana hata hili hajalifikiria huyo mlalamikaji
hahahaaa Mwekundu...mkuu mbona umeamua kumsakama mwenzio, kaomba ushauri sio kusakamwa.
Akili ni nywele inawezekana hata hili hajalifikiria huyo mlalamikaji
Kwa kifupi:
Pole sana kwa yote yanayokukabili but amini usiamini hali hiyo nawe pia umechangia kwa 50% ... kumbuka, wanaume ni viumbe very sensitive na mchanganyiko wa nature na saikolojia mara nyingi haupo upande wetu so huwa tunahitaji sana msaada wenu to make things happen.
Ushauri:
1. Kabla hujaanza kumwangalia mumeo na kumchunguza hebu jaribu kujichunguza mwenyewe especially baada ya kujifungua; Una adabu?Una muheshimu mumeo vya kutosha?Huna kiburi na dharau? Ukiacha mtoto, unajitahidi ku-maintain hali aliyokukuta nayo mwanzo i.e Usafi, utundu na urembo? Au baada ya ndoa na mtoto then umeamua kuwa 'mama' ... mwisho, mmewahi kuwa na ugomvi ulioisha bila wewe kukiri na kuomba msamaha?
.........Kama hapo juu mambo sio shwari, then rekebisha kwanza kwani mojawapo kati ya hayo, linaweza kuwa ndio linalosababisha yote yanayokukabili!
2. Kama yote hapo juu yapo poa, then waweza jaribu mambo mawili;
(a) Anza ku-initiate ::: Acha kuzubaa, hakuna kitu kina turn-on wanaume wengi kama mnapoanzisha sex, acha kukaa tu ukisubiri yeye kila siku aje akubembeleze na kukuomba ... tatizo lipo wapi ukampikia chakula akipendacho, jioni akija ukaanza naye mlangoni, sebuleni then ukammaliza (Thats what mine always do).
(b)Zungumzeni ::: Sidhani hili nalo unahitaji kushauriwa, acha kumjibia maswali, mweke chini then muulize kwa heshima na adabu then kama ana tatizo tafuta jinsi ya kumsaidia, usiwe kama wale wanaoamini 'mwanaume' huwa hashindwi kitu ...
(Ni maoni binafsi)