Nimechanganyikiwa mwezenu

Nyamafu kweli wewe dada. unasema alikuwa anakusumbua sana huyo kijana wako (hawara hana talaka) bila shaka usumbufu wake uliujua,ukainua makongoro yako kwenda kumsikia baada ya kuona kwa simu haitoshi,kama ulimtolea nje na jamma akayarecord maongezi yenu kwanini akuache (ukatoa appointment ya kugegedwa) ikawa recorded,unataka jamaa aendelee kuwa tu Bushoke? Mbuzi kasoro mkia wewe, jamaa kajiweka pembeni kama 20% unakuja kulilia fb. Tulizana na uwe mkweli.
 

we man we are good at wat we say...
kama u appear strong , talk deep and wise ,very indipendent minded and accepting challenges and bright kutokudanganywa..
ukipata mwanaume makini anaeweza kunoti hivo vyote..trust me data Mimi ningeshoot that same ---- ili unione ..day uyu kakaa...
 

mtumzima mwenzagu tengua kauli..umu sio fb ..kama ulivyohitimisha apo juu
 
halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!

Mie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......

coz tumeumbiwa upendo.
biblia inasema 'enyi waume wapendeni wake zenu 'hawa wenzetu waliamriwa kupenda
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman

Kaku-record?????tena ushkuru "hajakuchakaza" za tumbo kama mwenzio Ufoo maana naamini kama alikuwa na uwezo wa kuku-record pia angeweza kukugeuza marehem..damn wadada wakisasa mna nini unafunga safari kwenda kumsikiliza et m-kaka!!tena una bahati kakuachia line yake wazi ingekuwa mimi ninge-block No za sim za familia yako yote.usipoolewa unalalamika kumbe unasababisha mwenyewe tabu.mwache mana mkirudiana ataja kukuua naye ajiue amuue na huyo uloenda kumsikiliza huoni ni hasara kwa Taifa???nakushauri katulie na huyo ulieenda kumsikiliza na utulize "SHABAHA" hiyo.
 

Sure bro...u damn right!!!
 
Kama umechanganyikiwa nenda Mirembe ndio hospitali maalumu kwa ajili ya wenye shida ya kuchanganyikiwa...
 
coz tumeumbiwa upendo.
biblia inasema 'enyi waume wapendeni wake zenu 'hawa wenzetu waliamriwa kupenda

coz mwanaume anaweza akacheat na still akawa anampenda aliemcheat ila mwanamke akicheat ujue mapenzi hamna yameisha hapo.
 
hahahahhahaha watoa ushauri mmenivunja mbavu jaman
 

Sawa tuseme alimtengenezea chezo but why aende kumsikiliza mtu anaemuita kumtongoza,tayar ana point kwamba sio mwaminifu mana hata kama hakumtuma yy jamaa basi kuna wengine ambao ashaenda kuwasikiliza...angekuwa timamu angemwambia huyo bwana'ake anavyofatiliwa ila kwa7bu kichwa anafugia nywele ndo hayo yashamkuta.
 
"Hadithi" inasema kuwa mchumba wko alisikia kila kitu.
1.Kipi alichosikia kinachokupa wasiwasi? 😕
2. Inaonesha ulimkubalia huyo jamaa mwingine ndo maana mchumba wako hana stori na wewe.
3. Andika upya stori yako. Wewe unaonesha unaweza kuwa mtunzi mzuri
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman

ina mana mlikuwa mnatongozana? kweni mlikuwa mnaongea kitu gan hadi akuache? afu km hueleweki flani vle ebu funguka fresh
 
Nenda kanisan akishindwa bwana yesu sio chaguo lako......ukihitaji kulazimisha nenda kwa sangoma lakn ujue hakuna malefu yasiyo na mwishooooooo.
 
Hata mimi nashangaa alienda kusikiliza nini,mwanamke uibomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe.
 

huyo mkaka ulipokutana nae alikueleza mambo gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…