Danganya Toto Jingaaaaa.
malizia sasa danganya toto jingaa maskio ka popoooo
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman
Ahaaaaa kwamaana sasa anatumikia ghalama ya ku cheat yeye kwanini uende kumsikiliza while ana mchumba inamaana alikuwa bado ana searchingHahahaaaaa mapenzi haya.....
sa we huyo mkaka ulienda kumsikiliza nini mlishindwa kusikilizana kwenye simu kweli!!!!!!
kuna mtu aliwahi kuniambia "Choices have consequences" sasa ndio hizo consequence waziface now
nenda nae taratibu tu though inauma kama hivyo ila anaweza kuja kukuelewa...........
Pole sana......calm down mamie hayo mazungumzo aloyarecord mlikua mnazungumzia nn haswa?inaonekana kakutongoza na ukamkubali ndio maana kaapa kutokusamehe.......pole ndio ushampoteza huyo kubaliana na matokeo
huwa tunaumia sana aisee ukihis umechapiwa, unakata tamaa kabisa. mwili unatetemeka. nakumbuka ilinitokea nlipata hasira sana, asb nilirudisha bastola na ndo ukawa mwisho wa kuipenda ile kitu coz nliona ndo wakat muafaka wa kuitumia but baadae nkapoa nkaona no need.
wew dada hujielewi kweli,
kilichokutoa kwenu mguu kw mguu kwenda kutongozwa kitu gani kama si
kutojielewa, nimefurahi yalivokukuta ayo, mana akili huna ushakua
huriziki na m.mme mmoja umeamue ukajitongozeshe kw mwanaume
mwengine....loh ukome ushakunaku kutaka marefu usoyafikia
Madada wa siku hizi huwa mnakera sana,kwa kuingia katika mahusiano pasipo kutambua thamani ya mahusiano hayo.
Mapenzi yanapaswa kulindwa kama mboni ya jicho kujengewa uaminifu.
Umefanya makosa makubwa kwa uzembe wako wa kutofikiri:
1.Kama ulikwishaifahamu dhamira ya huyo jamaa anayekupigia simu,ni kwanini unapokea call zake?
~It seems bado unafanya selection ya wapenzi.
2.Pia,kilichokusukuma uende ni kipi?Endapo umeshajua anachokuitia.
~Je ukibakwa huko?
~Je mpenzi wako akikuona atakuelewaje?
3.Umeshapata akupendae,ni kipi kinachokufanya uendelee kusumbuka na wengne?
~Yaelekea hujaridhka na uliyenae na wewe ni msiri sana kwa mpenzi wako.
Ulitakiwa utafakari haya kwanza kabla ya kufanya uliyoyafanya.
WANAUME WENZANGU,WADADA WA SIKU HIZI wengi wao ni walaghai,tutoapo pesa ama tuingiapo gharama kwa ajili yao,tufanye tu kama tunatoa sadaka.
Na siwaelewi hawa viumbe wanatafuta nini katika mapenzi.