Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,452
- 609
mm ni mdada ambaye nimepata matatizo naomba msaada wa mawazo.nilikuwa na mpenz wangu kwakwel alinipenda sana.kila nikichohitaj amenisaidia.wik iliyopita kuna mkaka alikuwa ananisumbua sana kuonana na mm.nikaamua kukubal kuonana nae ili nimsikilize anachotaka kuniambia.bahati mbaya mchumba wangu kasikia kila kitu.kaniacha hatak kabisa kunisamehe kila nimpigiapo simu hapokei na saa nyingine anakata.naomba msaada wenu wakuu nifanye mbinu gan anisamehe?had mama yangu kaniombea msamaha lkn mchumba wangu kakataa.nifanyeje jaman nimechanganyikiwa
halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!
Mie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman
halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!
Mie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......
ulienda msikiliza ??? sijaelewaa hapoo
halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!
Mie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......
ulienda msikiliza ??? sijaelewaa hapoo
Umeona eeeh? Mliongea nini? Mlifanya nini? Manake haitoshi tu kumsikiliza.Mleta mada, jibu kwanza maswali ya wadau hapo juu, kuna kitu unaficha.Hebu funguka.
Ndio ukome kutangatanga inamaana mlishindwa kusikilizana kwenye simu? Umeenda kugegedwa huko unatuletea uozo wko.
bahat nzuri ckwenda simu yangu iliisha chaji nikarud nyumban
Kilichobaki komaa na huyo uliyeenda kuonana naye ili achukue nafasi iliyoachwa na mchumba 'ako....
Hapo ndiyo sikumuelewa kabisa, huyu sijui anataka kutueleza nini!!Danganya Toto Jingaaaaa.
Inaonekana wewe ni msaliti kama ZZK. Wewe na hilo jamaa lako jipya mtakuwa mlienda kugegedana maana mazungumzo yote mlishayamaliza kwenye simu. Sasa unavuna ulichopanda.kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman