Habari za Leo wakuu,
Binafsi nimechaguliwa kusoma course inaitwa food science pale sua kwa mwaka wa kwanza wa masomo 2021/2022.
Ila nimetamani kupata kujuzwa mengi kuhusu hii course katika kila nyanja kama ifuatavyo:-,
#Ugumu wake?
#fursa zake kimasoko katika ajira?
#kujiajiri kwake?
#faida zake kiujumla ?
Na kama kuna ushauri mwingine hata wa kuhama kozi pia tushauriane tu .Karibuni wakuu naombeni msaada wa ushauri na mawazo juu ya hili