Nimechaguliwa kusoma course inaitwa FOOD SCIENCE pale SUA

Man kante

Member
Apr 26, 2021
16
7
Habari za Leo wakuu,

Binafsi nimechaguliwa kusoma course inaitwa food science pale sua kwa mwaka wa kwanza wa masomo 2021/2022.

Ila nimetamani kupata kujuzwa mengi kuhusu hii course katika kila nyanja kama ifuatavyo:-,

#Ugumu wake?
#fursa zake kimasoko katika ajira?
#kujiajiri kwake?
#faida zake kiujumla ?

Na kama kuna ushauri mwingine hata wa kuhama kozi pia tushauriane tu .Karibuni wakuu naombeni msaada wa ushauri na mawazo juu ya hili
 
Inawezekanaje
Kutoshirikisha watu katika mipango then matokeo utake Ushauri zaidi ya KUPAMBANA HAKUNA PLAN INGINE
 
We nenda tu, utaajiriwa kwenye viwanda vya chakula na vinywaji pamoja na maeneo mengine kama TBS huko. Masomo ni simple na magumu pia cha msingi kuzingatia na kusoma kwa bidii. Karibu SUA utatukuta kaka zako tunasoma BVM tutakupokea.
 
Usime TBS anza kusema atakuwa baba Lishe
Usimpotoshe
Food science haihusiani na baba lishe
Tofautisha Human Nutrition na Food Science
Food Science
Unaweza kuajiriwa viwanda vya vyakula, vinywaji, TBS, TMDA, sector ya kilimo, Mifugo na Uvuvi
 
Habari za Leo wakuu,

Binafsi nimechaguliwa kusoma course inaitwa food science pale sua kwa mwaka wa kwanza wa masomo 2021/2022.

Ila nimetamani kupata kujuzwa mengi kuhusu hii course katika kila nyanja kama ifuatavyo:-,

#Ugumu wake?
#fursa zake kimasoko katika ajira?
#kujiajiri kwake?
#faida zake kiujumla ?

Na kama kuna ushauri mwingine hata wa kuhama kozi pia tushauriane tu .Karibuni wakuu naombeni msaada wa ushauri na mawazo juu ya hili
Kapambane yote Yanawezekana
 
Usimpotoshe
Food science haihusiani na baba lishe
Tofautisha Human Nutrition na Food Science
Food Science
Unaweza kuajiriwa viwanda vya vyakula, vinywaji, TBS, TMDA, sector ya kilimo, Mifugo na Uvuvi
kabisa mkuu nipo nao vijana hao chuoni wanapambana kwelikweli cha msingi aje asome aachane na u form six
 
Kama wadau walivyochangia hapo juu, ajira zake Ni viwandani huko TBS, PEPSI NK .....ILA NINGEKUWA MIMI NINGESOMA GENERAL AGRICULTURE AU AGRONOMY KWANI NAONA KAMA ZINA UWANJA MPANA NA WA UHAKIKA SANA. Ila Mimi hapo nilisoma kakozi Fulani hivi kapo hapohapo Siri yangu. Ukienda wasalimie dark City, mauki na kaumba na samaki samaki.
 
KAUMBA🙄🙄🙄
 
Habari za Leo wakuu,

Binafsi nimechaguliwa kusoma course inaitwa food science pale sua kwa mwaka wa kwanza wa masomo 2021/2022.

Ila nimetamani kupata kujuzwa mengi kuhusu hii course katika kila nyanja kama ifuatavyo:-,

#Ugumu wake?
#fursa zake kimasoko katika ajira?
#kujiajiri kwake?
#faida zake kiujumla ?

Na kama kuna ushauri mwingine hata wa kuhama kozi pia tushauriane tu .Karibuni wakuu naombeni msaada wa ushauri na mawazo juu ya hili
Karibu mkuu FST mwenzio hapa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom