Nimebobea kwenye masomo ya Physics na Chemistry. Natafuta kazi

Ni kweli. Ahsante sana kwa ushauri. Ila kuajiriwa ni ndoto yangu, ndio maana naitafuta hiyo ajira sana.
Mkuu kwani umeona nini kwenye kuajiriwa hadi uifanye iwe ndoto yako, kuna watu kibao wanatamani kuacha ajira wafanye mambo yao lakini mikataba inawabana. Kuna watu ninaowafahamu ambao tumemaliza pamoja wakafanya mambo yao wamefanikiwa kuliko hata tulio kwenye ajira.​
 
Tupeni hizo ajira rafiki.
 
Tanataka kuulambia, tumechoka kazi za kunuka jasho, tanataka kazi za full kiyoyozi
 
Mambo zenu wakubwa,

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Mimi ni kijana mwezenu nina shahada ya kemia. Shahada yangu niliipata 2016. Nilifaulu vizuri sana kwa GPA ya 4.

A-level nilifaulu vizuri masomo ya PCM yaani Physics, Chemistry na Mathematics.

Nimebobea vizuri sana katika masomo ya Physics na Chemistry.

Nilianza kufundisha masomo ya Physics na Chemistry katika shule za sekondari kuanzia mwaka 2013 mpaka 2019.

Nikiwa katika kufundisha wanafunzi wangu walikua wananielewa vizuri sana na kufanya vizuri sana katika mitihani yao ya taifa.

Ahsanteni sana.
Wahi nafasi huko Islamic modern school
Walikobadiliaha namba za watahiniwa
 
Mambo zenu wakubwa,

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Mimi ni kijana mwezenu nina shahada ya kemia. Shahada yangu niliipata 2016. Nilifaulu vizuri sana kwa GPA ya 4.

A-level nilifaulu vizuri masomo ya PCM yaani Physics, Chemistry na Mathematics.

Nimebobea vizuri sana katika masomo ya Physics na Chemistry.

Nilianza kufundisha masomo ya Physics na Chemistry katika shule za sekondari kuanzia mwaka 2013 mpaka 2019.

Nikiwa katika kufundisha wanafunzi wangu walikua wananielewa vizuri sana na kufanya vizuri sana katika mitihani yao ya taifa.

Ahsanteni sana.
Una shahada ya kemia au una shahada ya ualimu wa kemia?
 
Nina shahada ya Kemia, ila ni mwalimu wa Physics na Chemistry. Nimefundisha masomo hayo mawili tangu 2013 mpaka sasa.
Mkuu wewe ni mwalimu professional ? Au imesoma bachelor of science in chemistry........

Kama umesoma hio course basi huo sio ualimu ,unafosii sana huko ,tafuta kazi huko tbs , wewe ni mkemia sio mwalimu ....
 
Ualimu ndio fani yangu by nature boss. Nilianza kufundisha tangu nahitimu kidato cha nne. Baada ya kuhitimu kidato cha sita nimefundisha physics na chemistry shule tatu za private. Baada ya kuhitimu chuo nimefundisha tena. Nimesahihisha mitihani ya necta na mock mwaka 2018.
Nilisomea kemia ili nibobee kwenye somo hilo.
Kama nafasi ya kupiga chaki ipo mimi nipo tayari tu.
Na mpango nilio nao ni kufungua shule yangu rafiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom