Nimebakwa na wanawake watatu

Itakuwa na wewe ulipenda,mimi huwa naamin mwanaume hawez bakwa na mwanamke,kama hupendi mashine itasimama vipi?
Mkuu mimi nilipigwa usingizi! ile juice kuna kitu aliweka uko kwa sababu kama ilikua imeandaliwa kitambo kwa nini atumie mda mrefu vile?
Tuko kwenye foleni hapa kucheki VVU kwanza.
 
Sipotezi wino wangu hapa, huyu mtu kila siku ana story mpya inayokinzana na ile iliyopita...

Kama una mke na watoto kweli basi wamepata hasara. Kila la kheri.
 
Sipotezi wino wangu hapa, huyu mtu kila siku ana story mpya inayokinzana na ile iliyopita...

Kama una mke na watoto kweli basi wamepata hasara. Kila la kheri.
Kumbe!! Hovyo kweli!!
 
Kumbuka mada hii aikuletwa na wewe jamvini in other words you are not advocate wa BigGift consequently uwezi kuzungumza on his behalf.

Kuhamaki kwako kunaonyesha ujiamini unacho zungumza, hapa tunanungumzia Biolojia ya above O-Level, kama unashindwa kutofautisha baina ya binadamu ambaye yuko totally unconscious na binadamu aliye wekewa Regional/local anaesthesia nafikiri kuna tatizo further down the line - si bure!!
 
Mkuu mimi nilipigwa usingizi! ile juice kuna kitu aliweka uko kwa sababu kama ilikua imeandaliwa kitambo kwa nini atumie mda mrefu vile?
Tuko kwenye foleni hapa kucheki VVU kwanza.
na waliokubaka?
AHAHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHHAH
we nae nia yako tujue unaweza kumuu wanawake watatu,haya tushajua!
halafu?
as if kuna mtu anataka miguvu guvu kama unachimba makaburi Milimani!
 
nipe namba zao kaka me nawahitaji sana hao threesome
 
na waliokubaka?
AHAHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHHAH
we nae nia yako tujue unaweza kumuu wanawake watatu,haya tushajua!
halafu?
as if kuna mtu anataka miguvu guvu kama unachimba makaburi Milimani!

Mkuu huyu amepania kufurahisha baraza, hakuna ukweli wowote, kisayansi uwezi kufanya mambo ya ngono na mwathirika alafu baada ya wiki moja ukaonekana umehambukizwa virusi - stori nzima amekaa kaa Kishogongo Shigongo vile!!
 
Wewe ulijuaje kama na wao watatu na sio Housegirl? Si umesema umepewa juice ukalala?
But hii story ni nzuri, mtafute Shigongo
 
Mie najiuliza hivi kwanini mwanaume akibakwa hapigi kelele lakini mwanamke hupiga kelele
Haya yote ni makosa ya ubakaji
 
Hongera bro,wengi wanaomba hiyo nafasi ila ndo hivyo inakutokeeni wachache!
 
Duuh!ww sema tu uliliwa kiboga usituzuge humu na hio story isiyoweza kusadikika hata kidogo ninafananisha na movie flan inaoneshwagwa eatv siri ya ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…