Nyote niliowa Quote naomba niwaulize kabla sijajua jinsi zenu, je, kwa kawaida Mwanadamu anapolala huwa anajitambua au hajitambui, kama hajitambui kwa nini Mwanaume aliyekamilika akiamka hukuta UUME UMESIMAMA? Binafsi hata nikimaliza kujamiiana huwa nalala na nikiamka nakuta Uume umesimama tena, hivyo naomba mechi nyingine kisha ndo nasepa, hivyo nakubaliana na mtoa mada amewekewa dawa za usingizi amelala na wao wakambaka hii ni kweli, kama kuna wataalamu wa afya humu naomba waje walielezee kwa kina hili, ikumbukwe KULALA sio KUZIMIA (kupoteza fahamu kama mnavyodai)