Nimebakwa na wanawake watatu

Nimebakwa na wanawake watatu

Kama ulikata moto huo MPINI ulikufyatuka vipi?
Hivi ukizima na machine nayo Si inazima....
Sasa ulifanyaje wakati ulikuwa hujitambui???
Huu ni uongo ufananao na ukweli. Haiwezekani uwekewe kitu kwenye juice unywe, uishiwe nguvu ulale na jogoo awike bila hisia zako za akili na mwili halafu ubakwe bila kujijua na kuja kuamka uko hoi !! "Terrible"
Aiseee!!!!,wewe ndo kidume wa mtaa hadi ubakwe na wanawake 3?? Hilo dudu lilisimama vipi huku huna fahamu??? Ngumu kumesa hii...
Mie najiuliza mashine ilikuwa inasimama wakati wewe hujitambui?Nawaza tu lakini
Duu jamaa story ni tamu ila haiwezekani ukate network afu mgegeda uwe imara nu ngumu aisee
Ndo unajifunza kudanganya!
Masikini hukufikiria kuwa fahamu zikipotea na babu pia hakohoi!
Mtumbuee jogoo wako ni Jipu iweje awikee bila ruksa kutoka ofisi kuu
Waqt unaweza kuwa na mfadhaiko tu mpini haukongoki sasa huyu amedoromee kabisa kisha kaweza kupiga mathalani bao tatu za nguvu huyu jamaa atakuwa genius wa mtungo
I guess mtoa mada ni Mwanamke,
Ndomana Haelewi kama Mwanaume akizima basi na jogoo hafanyi kazi,

NIMEWAZA TU LAKINI
Nyote niliowa Quote naomba niwaulize kabla sijajua jinsi zenu, je, kwa kawaida Mwanadamu anapolala huwa anajitambua au hajitambui, kama hajitambui kwa nini Mwanaume aliyekamilika akiamka hukuta UUME UMESIMAMA? Binafsi hata nikimaliza kujamiiana huwa nalala na nikiamka nakuta Uume umesimama tena, hivyo naomba mechi nyingine kisha ndo nasepa, hivyo nakubaliana na mtoa mada amewekewa dawa za usingizi amelala na wao wakambaka hii ni kweli, kama kuna wataalamu wa afya humu naomba waje walielezee kwa kina hili, ikumbukwe KULALA sio KUZIMIA (kupoteza fahamu kama mnavyodai)
 
Naisikitia familia yako....ikiwa wewe ndio baba na kichwa cha familia basi familia yako imeshapoteza muelekeo......
 
Tatizo sheria yetu unajua mwanaume ndio hua anabaka tu .na Napa wewe ndio umeenda huko kwa hiyo huwezi jitetea kirahisi
 
Nia marafiki wa tatu tumefahamiana toka mwaka juzi, wadada wawili wa kike mapacha na dada yao wametofautiana miaka miwili.

Tumekua tukibadilishana mawazo na kusaidiana pale msaada unapohitajika mfano kama kutafuta mafundi ujenzi, umeme nashughuli nyingine ambazo wao wanawake huwa wanamtegemea mwanaume.

Kwa nafasi niliyonayo nimekua kama msaidizi wao wa karibu sana. Siwezi kuorodhesha yote niliyowafanyia ni mengi mno ila akilini mwangu nilijua ni watu wangu tuu wa karibu hivyo maisha yamesonga hadi sasa.

Mimi nimeoa na nina familia ya watoto wawili na mke. Leo mchana waliniita wakaniambia nikawapige tafu basi mimi nikaaga nikaenda. Kufika nikawakuta wako mezani wanakula, wakanikaribisha mimi nikaendelea kidogo kwa sababu nilikua nimetoka kula mda sio mrefu.

Nikawaambia wanipe juice niwasindikize kidogo. Basi wakafanya hivyo baada ya dk kadhaa juice ikaingia mimi nikaanza kunywa mdogo mdogo. Nakumbuka tulitumia zaidi ya nusu saa, tukipiga stori za hapa na pale.

Nikaanza kujisikia siko fresh nikawaambia ngoja nilale hapa kwenye kochi halafu nyie mkiwa sawa nishtueni twende. Huko ndo nilipotea kabisa nikaja kushtuka mida ya sa kumi na moja niko hoi.

Any way kilichonikuta leo nawahakikishia nitamwadhibu mmoja baada ya mmoja hadi nafsi yangu iridhike. Yani hawa wamenidhalilisha kiasi hiki? Hapana hii ni siri yangu na wao kama wako huku msome huu uzi lazima niwafanye mbaya tuu. Mimi sio wa kufanyiwa huo upuuzi.

Na kwanzia sasa sina mda na nyie. Nimekua nikiwasaidia kama ndugu zangu leo hii mnanivua nguo na kunifanya kama mume wenu wanawake wa tatu? Na hapo mnajua mimi ni mume wa mtu?

Hapana uchungu nilio nao lazima nitawafikisha pabaya.

HADITHI NYINGINE BWANA, WATATU WOTE WAKUBAKAJE? KAMA ULIKUWA HUJIJUA ILIWEZEKANAJE UKAWA ACTIVE KULALA NA WANAWAKE WA 3 MDA WOTE HUO? LABDA KAMA WEWE NI WA KIKE, UONGO AT THE HICHEST LEVEL
 
Ina maana hiyo juice uliyokunywa ndo ilisimamisha mashine wakati ukiwa huna fahamu ? natamani umalizie kilichoendelea kwamba ulipoamka ukajikuta uchi na wao uliwakutaje ? manake tunashindwa kukushauri manake mara useme mengine siri yako sasa sijui walijiingiza kunako siko au walikupiga picha yaani unatuacha hewani tu
 
Dah! Kwahiyo kaota anagegedwa! Hivi na wewe ushawahi kuniota?! Mi nishawahi kukuota; cjui mara sita vile sijui mara tisa... sikumbuki!
Kumbe tunaotana!!
 
Nyote niliowa Quote naomba niwaulize kabla sijajua jinsi zenu, je, kwa kawaida Mwanadamu anapolala huwa anajitambua au hajitambui, kama hajitambui kwa nini Mwanaume aliyekamilika akiamka hukuta UUME UMESIMAMA? Binafsi hata nikimaliza kujamiiana huwa nalala na nikiamka nakuta Uume umesimama tena, hivyo naomba mechi nyingine kisha ndo nasepa, hivyo nakubaliana na mtoa mada amewekewa dawa za usingizi amelala na wao wakambaka hii ni kweli, kama kuna wataalamu wa afya humu naomba waje walielezee kwa kina hili, ikumbukwe KULALA sio KUZIMIA (kupoteza fahamu kama mnavyodai)
Mijitu mingine inajikuta inajua sana biology kumbe wapi, hawajui lolote na mostly ni form four failure au hata kama wamefaulu basi wamesomea sanaa halafu wanakuja kupost visentensi vyao vya ajabu hapa.
Kwa hasira niliyonayo n ingeweza kutukana hapa hata nipewe bani ya miaka mitatu.
Nimeleta hii mada ili wanaume wenzangu wajue dunia inapoelekea ili wajilinde mda wote.
Sasa kama walikua na ngoma si ningeshaathirika??
Nimewatext jana usiku nikawaambia kama wanajijua wana ngoma au mmoja wapo basi ntawafanya mbaya wote na hata wakijificha ntahakikisha ndugu/wazazi wao ntawatoa sadaka nafsi yangu iwe na amani.
Sijawahi kufanyiwa kitu kama hii maisha yangu leo ngoja nizame hapo hospitali kwanza.
 
Ina maana hiyo juice uliyokunywa ndo ilisimamisha mashine wakati ukiwa huna fahamu ? natamani umalizie kilichoendelea kwamba ulipoamka ukajikuta uchi na wao uliwakutaje ? manake tunashindwa kukushauri manake mara useme mengine siri yako sasa sijui walijiingiza kunako siko au walikupiga picha yaani unatuacha hewani tu
Mkuu naomba tuheshimiane mimi sijakuta nimeingiziwa hizo mnazosema dilldo nyuma. Ila najitambua huwezi kunifanyia kitu mwilini mwangu nisijue.
Kwanza nilikua nanuka marashi yao ya ajabu na mauteute yao yamegandia mapajani mwangu.
 
Back
Top Bottom