simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 379
Kama ulikata moto huo MPINI ulikufyatuka vipi?
Achana nae fix huyo
Kama ulikata moto huo MPINI ulikufyatuka vipi?
Nia marafiki wa tatu tumefahamiana toka mwaka juzi, wadada wawili wa kike mapacha na dada yao wametofautiana miaka miwili.
Tumekua tukibadilishana mawazo na kusaidiana pale msaada unapohitajika mfano kama kutafuta mafundi ujenzi, umeme nashughuli nyingine ambazo wao wanawake huwa wanamtegemea mwanaume.
Kwa nafasi niliyonayo nimekua kama msaidizi wao wa karibu sana. Siwezi kuorodhesha yote niliyowafanyia ni mengi mno ila akilini mwangu nilijua ni watu wangu tuu wa karibu hivyo maisha yamesonga hadi sasa.
Mimi nimeoa na nina familia ya watoto wawili na mke. Leo mchana waliniita wakaniambia nikawapige tafu basi mimi nikaaga nikaenda. Kufika nikawakuta wako mezani wanakula, wakanikaribisha mimi nikaendelea kidogo kwa sababu nilikua nimetoka kula mda sio mrefu.
Nikawaambia wanipe juice niwasindikize kidogo. Basi wakafanya hivyo baada ya dk kadhaa juice ikaingia mimi nikaanza kunywa mdogo mdogo. Nakumbuka tulitumia zaidi ya nusu saa, tukipiga stori za hapa na pale.
Nikaanza kujisikia siko fresh nikawaambia ngoja nilale hapa kwenye kochi halafu nyie mkiwa sawa nishtueni twende. Huko ndo nilipotea kabisa nikaja kushtuka mida ya sa kumi na moja niko hoi.
Any way kilichonikuta leo nawahakikishia nitamwadhibu mmoja baada ya mmoja hadi nafsi yangu iridhike. Yani hawa wamenidhalilisha kiasi hiki? Hapana hii ni siri yangu na wao kama wako huku msome huu uzi lazima niwafanye mbaya tuu. Mimi sio wa kufanyiwa huo upuuzi.
Na kwanzia sasa sina mda na nyie. Nimekua nikiwasaidia kama ndugu zangu leo hii mnanivua nguo na kunifanya kama mume wenu wanawake wa tatu? Na hapo mnajua mimi ni mume wa mtu?
Hapana uchungu nilio nao lazima nitawafikisha pabaya.

Umeonaa jamaa muongo ww umepoteza nguvu inakuwajee network iwe richaboo

Mbona ukiwa usingizini unaota mpini unasimama? Pale damu tu wakisugua dude linanyanyuka vyema tu.Mie najiuliza mashine ilikuwa inasimama wakati wewe hujitambui?Nawaza tu lakini
Jogoo wake anakiherehereMkuu jogoo wako ndo mwenye kiherehere.
Kama ulizimia why akusaliti yeye aamke atumike wakati wewe hujui?
Huyo ndo wakudeal naye mana mimi najua uzimia kila kiungo nacho kinastop.
Jongoo wako mlafi sana
mlakuuu huyo.
poyeee mkuuso creative..so creativity
Yaani jamaa analalamika amepiga mande bila ridhaa yake weye unamcheka!Teh teh teeeeh!!






Jamaa kapiga sangi bila kujua ana hasira hapo akiwakamata!Aiseeeee.....
Hahahaaaaa!! Ngoja nicheke tena. Haloo ya mbakwaji. Ngoja nami nikambake mtu.Yaani jamaa analalamika amepiga mande bila ridhaa yake weye unamcheka!

Waqt unaweza kuwa na mfadhaiko tu mpini haukongoki sasa huyu amedoromee kabisa kisha kaweza kupiga mathalani bao tatu za nguvu huyu jamaa atakuwa genius wa mtungoUmeonaa jamaa muongo ww umepoteza nguvu inakuwajee network iwe richaboo