Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,596
- 29,518
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Daah! Majuto ni mjukuu, nimefanya mistakes nyingi lkn hii ya kuachana na huyu dada ni kubwa na iliyoniachia majuto hadi sasa.
Miaka saba toka niachane na huyu binti bado natapatapa kwenye mahusiano.
Dhahabu imepotea
I'm sorry, but you real deserve this..!
I'm out..!!