motza
Member
- Jun 27, 2012
- 7
- 3
we shauri yako by the time unagundua she was yo mrs right itakuwa too late...maybe kuna kidudu mtu kaingia sasa unahisi ndo unampenda kumbe sio..
talking from my experience mwenzio nae alizuzuka hivyo kwa penzi jipya la kuparamia by the tym anagundua kuwa mm ndo nastahili kuwa wa ubavu wake akawa amechelewa.. sasa anatangatanga tu hana hili wala lile daily kunifuatilia nami sina tym nae..
mwambie tu kama hutaki kuendelea nae ataumia but am sure atampata atakayempenda na kumthamini.
I beg to differ.
1. Uwezekano upo pia kwamba huyo jamaa yako aliyekutosa angepata msichana more decent than you.
2. Asingekutosa, for the rest of his remaining life angekuwa anawaza ni kiasi gani angekuwa na furaha with his dream girl ambaye umemzuia kuwa nae. Trust me, for this ungekuwa na messed up marriage.
Follow your heart & never regret. #YOLO