Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Boss hakuna cha family wala friends hayo majina yamebadilishwa tu baada ya kugundua amekosea akakupigia na hiyo line na hata kama yatakuwa ni ya family na friends wake atakuwa ameyaweka kimkakati baada ya kujua tayari ameshayakoroga so akaona atengeneze trust kwako kwa kusave majina kadhaa ya marafiki na ndugu zake na huenda mhusika ameshafutwa namba yake kwenye hiyo line na kupewa full info. So kazi ni kwako kuujua ukweli ambao ukimsikiliza yeye siyo rahisi sana kuujua.

Ila kijana wako wa kazi kuikana hiyo line pamoja na leading questions za your wife tayari ujue hiyo line siyo salama kabisa kwako. Ukimbana seriously utaujua ukweli ila sasa je uko tayari kukabiliana na ukweli unaoutaka kuujua?
Asipoona hapa na kupafanyia kazi basi itakuwa karogwa, huyo mke wa deepond analiwa kama vile yeye anavyokula, na alibadilisha majina baada ya kuona mme kashamshtukia...kazi kwake 😂😂😂😂 KATAA NDOA NDIO MUDA WAO WAKUJICHUKULIA POINT HAPA, kila siku unamsifia mke wako kuwa nai mwaminigu njemba zinakuchora tu😂😂😂😂
 
Nilipanga geto moja k/nyama chumba cha nyumba kubwa mtaa wa Bukoba sasa kulikua na mshikaji kapanga chumba sebule vya nje anaishi na mzigo mmoja matata sana, issue sasa yule manzi alikua na kasimu kake kadogo anakaweka kwa maza house huku nyumba kubwa anakuja kujifanya kupiga story kumbe anaongea na mabasha zake mwanzo mwisho then anakaacha kisimu chake kwa bimkubwa anarudi zake kwa Mr wake maisha yanaendelea nikawa najionea yote,kwa scenario hiyo hapo kwa shemeji yetu hesabu maumivu
 
Nifumbue jicho Apo,mbinu ya kivita kivipi
Pole sana, ila sitaki kusema kwa kuwa na line nyingine ndio labda ana cheat hapana ila sio mkweli, kuna kitu anaficha kwako sasa nini ngumu kusema. Hatua zote umefanya sahihi 100%, Mimi nadhani sababu umejuwa kitu basi usiliongelee tena hili na yeye jifanye kama umelipuuzia mwache aishi na wasiwasi. Mtu muongo atajinasa mwenyewe siku atakosea tu kama alivyokosea kukupigia na number mpya. kuwa kimya asijue unawaza nini hapo utamtesa kuliko kupiga kelele naye. Utampata tu kishaingia kwenye 18 ni kosa moja penalty.
 
Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."

Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".

Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.

Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.

Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.

Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.

2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.

4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.

MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.

Nawasilisha
Kamkee chako naye kumbe kajambazi kama wa kwetu tu 😅😅😅
 
Baada ya kukata Simu,machale yakanicheza sana. Nkaamua Kwenda nyumbani MDA huo huo, nmefk namkuta wife sebleni kashika Simu akitizama tv na shemej yangu (mdg wake wa kike).

Nmemuita chumbani kaja, nmemkalisha chini nikamwamvia anikabidhi Simu yake,Kisha nkamwambia "nataka kujua khs hii laini ngeni ulonipigia leo". Akasema "sio laini yangu, Ni laini ya kijana wetu wa ng'ombe, aliazima Simu yangu kubwa mara Moja ili awapigie videocall ndugu zake,ndo kasahau kuitoa"

Nkamwambia "kwaiyo iko wapi Hii laini" akasema "nishaitoa iko kwny kava la Simu, funua utaiona" nmefunua kweli nmeikuta. Ikabd kuiweka kwenye kisimu changu Cha tochi kuikagua.

Katk kuikagua, nikakuta haina sms yyt,ila Ina majina 9 yote yameseviwa majina ya ndugu na shoga zake wife. Nkahisi huyu ananidanganya, haiwezekani laini iwe ya kijana wa ng'ombe, afu phone book iwe na majina ya ndugu zake na shoga zake wife nnaowajua mimi. Ikabd kumfata kijana nmuulize.
Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee

Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 56
Wajukuu: 132
Sababu ya kifo: Uzee.

Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 73
Sababu ya kifo: Uzee

Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: shinikizo la damu.

Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, Sukari

Erick Charles James
Kazi: Mwalimu
Umri: miaka 43
Mke : 1
Watoto: 3
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo

Sisemi chochote. Ni juu yako kutoa tafsiri yako mwenyewe....😷😷😷🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Nahsi yeye ana nafuu,
Mimi ndo Sina amani kabisa
Mke hachungwi kama unavyofanya wewe mwanamke utamuweza ukitumia akili sikuona sababu za kupanic na kuonesha hasira za wazi mbele ya mke wako ungefanya uchunguzi wa kimya kimya bila yeye kujua ingekusaidia na ungeupusha upotevu wa amani wa ndoa yenu hivi unavyofanya haumjengi mke wako bali unatengeneza chuki na upendo umepungua taratibu taratibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom