Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,653
- 66,580
Habari za jioni
Juzi mshikaji wangu anachezea mpira timu fulani akaniambia Kuna manzi kakuelewa Sana ananisumbua toka mda anataka namba yako ni mpe? Nikamjibu mpe haina shida ila sitaki mswahili akasema poa.
Ee baada ya muda nikaona call nikamwambia sipokei namba ngeni jitambulishe nilimtumia text aka sema oh pole mm naitwa fulani nimepewa namba na rafiki yako nikaamua kumpigia sasa akakata akasema baba ameludi siwez ongea na simu na kaa kwetu
Mimi nikasema poa niambie akaaza kujieleza oh nakupenda Sana tu tangu muda na kuchora tu. Nikamwambia aha kumbe poa nikamuuliza unafanya ishu gani akasema nilikuwa nauza mashuka ya mtumba ila mtaji umekufa. Mm nikamuuliza Tena umekufa kivipi Bibi alikuwa anaumwa kwaio mama akasema nimpe ela zake
nikamuuliza Tena kwaio mtaji haukuwa wako akasema mma alinikopesha kwaio ningepata faida ningepata mtaji wangu
Nikamuuliza Tena elimu yako akasema form four sikuendelea nilifeli bas akasema hapaa nataka mtaji mm ikabidi niaze kutoa nasaha za maisha nikageuka motivational speaker nikaona hanielewi Nika mpotezea.
Jana jioni amenitafuta Tena akaniambia kuwa na miss kuchat na ww wasp nikamwambia nitext kupitia namba 065687...... Akasema Sina simu Kuna mtu anayo mpka niigomboe nilikopa ela kwak nikamuuliza ulifanyia Nini iyo ela akasema siunajua Bibi alikuwa anaumwa nikakopa ela kwaio mpenzi nigombolee simu bas tuchat Nikamuuliza Tena unadaiwa Bei gan akasema 180000 nikamwambia now siwez kukuhaid chchote akasema sawa
Leo mchana washikaji nikaona text yake mamb nikajibu akasema ana mawazo nikamuuliza yanini akasema ana njaa kwao wamepiga mihogo yeye hataki anataka chips yai au ugali samaki sijamjibu swali lilokuja kichwani huy ananichukuliaje? Mtu hatujawai meet at hanijui sula yangu Wala mm simjui lakin anataka kunifanya Kama chuma ulete vile
Mwisho naleta kwenu nimfanye Nini uyu mtu mtakacho amua hapa mm nafanya utekelezaji
Juzi mshikaji wangu anachezea mpira timu fulani akaniambia Kuna manzi kakuelewa Sana ananisumbua toka mda anataka namba yako ni mpe? Nikamjibu mpe haina shida ila sitaki mswahili akasema poa.
Ee baada ya muda nikaona call nikamwambia sipokei namba ngeni jitambulishe nilimtumia text aka sema oh pole mm naitwa fulani nimepewa namba na rafiki yako nikaamua kumpigia sasa akakata akasema baba ameludi siwez ongea na simu na kaa kwetu
Mimi nikasema poa niambie akaaza kujieleza oh nakupenda Sana tu tangu muda na kuchora tu. Nikamwambia aha kumbe poa nikamuuliza unafanya ishu gani akasema nilikuwa nauza mashuka ya mtumba ila mtaji umekufa. Mm nikamuuliza Tena umekufa kivipi Bibi alikuwa anaumwa kwaio mama akasema nimpe ela zake
nikamuuliza Tena kwaio mtaji haukuwa wako akasema mma alinikopesha kwaio ningepata faida ningepata mtaji wanguNikamuuliza Tena elimu yako akasema form four sikuendelea nilifeli bas akasema hapaa nataka mtaji mm ikabidi niaze kutoa nasaha za maisha nikageuka motivational speaker nikaona hanielewi Nika mpotezea.