nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,684 Reaction score 14,069 May 11, 2015 #1 Nashukuru mungu sana. Baada ya kuacha mambo yangu yalikuwa hovyo sana, pamoja na kutumia fedha vibaya lakini baada ya kuanza kulipuka daah im feel so peacefull and blessed. Shukrani.
Nashukuru mungu sana. Baada ya kuacha mambo yangu yalikuwa hovyo sana, pamoja na kutumia fedha vibaya lakini baada ya kuanza kulipuka daah im feel so peacefull and blessed. Shukrani.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 May 11, 2015 #2 hongera mkuuu
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,730 Reaction score 2,391 May 11, 2015 #3 lipuka mkuu, lipukaaaa....!:majani7::majani7::majani7:
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,322 Reaction score 9,771 May 11, 2015 #4 Safi kabisa
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,367 Reaction score 27,773 May 11, 2015 #5 Hongera nzalendo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kama kazz JF-Expert Member Joined Apr 28, 2015 Posts 1,080 Reaction score 583 May 11, 2015 #6 Aaah sana tu.
Lusajo11 JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 1,887 Reaction score 1,970 May 11, 2015 #7 One love nzalendo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 May 11, 2015 #8 miss chagga said: hongera mkuuu Click to expand... Hongera ya kweli au?
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 May 11, 2015 #9 Mkuu, pole. Hilo tu linakufaa.
Bingwaman JF-Expert Member Joined Oct 22, 2010 Posts 548 Reaction score 288 May 11, 2015 #10 Kwa raha zako.
Lusajo11 JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 1,887 Reaction score 1,970 May 11, 2015 #11 One love nzalendo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 May 11, 2015 #12 Descartes said: Hongera ya kweli au? Click to expand... ya ukweli mkuu
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 May 11, 2015 #13 miss chagga said: ya ukweli mkuu Click to expand... Uwe na huruma angalau kidogo; once a week in a blue Monday kwa kuanzia sio mbaya!
miss chagga said: ya ukweli mkuu Click to expand... Uwe na huruma angalau kidogo; once a week in a blue Monday kwa kuanzia sio mbaya!
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,536 May 11, 2015 #14 teh teh.....Man made beer,God made weed..............In God you t****t!!!
hekagongoo Member Joined Apr 10, 2014 Posts 80 Reaction score 21 May 11, 2015 #15 Hiyo nistarehe yako sis haituhusu vuta sana mkuu
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,385 May 11, 2015 #16 hekagongoo said: Hiyo nistarehe yako sis haituhusu vuta sana mkuu Click to expand... Na wewe unayetaka ku reason na mvuta bangi tukuiteje?
hekagongoo said: Hiyo nistarehe yako sis haituhusu vuta sana mkuu Click to expand... Na wewe unayetaka ku reason na mvuta bangi tukuiteje?
Mwinjilist mtume nabii JF-Expert Member Joined Feb 21, 2015 Posts 2,437 Reaction score 1,099 May 11, 2015 #17 not u who's speaking, but "it's lucifer" inside you and all who comment positively are poor brain so u need deliverance from God.
not u who's speaking, but "it's lucifer" inside you and all who comment positively are poor brain so u need deliverance from God.
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,844 Reaction score 52,251 May 11, 2015 #18 Keep it up.
sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,478 May 11, 2015 #20 Ni vizuri umeamua kuweka wazi ili utakapowehuka ndugu zako wasipate tabu ya kwenda kwa mganga kupiga ramli ya nani aliekuloga ukawehuka..
Ni vizuri umeamua kuweka wazi ili utakapowehuka ndugu zako wasipate tabu ya kwenda kwa mganga kupiga ramli ya nani aliekuloga ukawehuka..