isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,146
- 6,564
- Thread starter
-
- #21
Naamini katika uhalisia, siwezi kuongopa na kuwa mnafiki. Leo ni mwezi wa kumi bila ya soda na kemikali nyingine processed.Nakutamania, maisha mazuri hayo ila usijinyime sana ukatenda dhambi..mie nisipokula nyama 3dys roho hua inataka kutoka!
Soda nisipokunywa Coca sifanyi kitu nakua zoba.
Hapa niko sehem nasubiria mishikaki kwanza.
All the best
Hata hvyo unaonekana bado mtoto....utaweza ukijitenga na mambo ya duniaIkiwa sijawahi kufeli, siamini katika kitu kufeli na katu sitokuja kufeli. Huu ni mwaka wa 21 bila sex ije kushindwa miaka kadhaa bakia?
Kwanini mkuu,akiamua anawezahapo kwenye sex utafeli tu 😂 na huo ndo ukweri..
Uwii🙌🙌Naamini katika uhalisia, siwezi kuongopa na kuwa mnafiki. Leo ni mwezi wa kumi bila ya soda na kemikali nyingine processed.
Mwezi wa tatu bila bidhaa yoyote toka kwa mnyama.
Sijaoa na sitegemei kuoa. Dunia yote hii inanitegemea.Hongera.
Umeoa? Au unategemea kuoa?
Una ndugu wanaokutegemea?
Vipi huvai viatu unapekua kama mjomba MpotoNaamini katika uhalisia, siwezi kuongopa na kuwa mnafiki. Leo ni mwezi wa kumi bila ya soda na kemikali nyingine processed.
Mwezi wa tatu bila bidhaa yoyote toka kwa mnyama.
Upo vizuri au kuna shida mahaliIkiwa sijawahi kufeli, siamini katika kitu kufeli na katu sitokuja kufeli. Huu ni mwaka wa 21 bila sex ije kushindwa miaka kadhaa bakia?
Amesema hataki kula wanyama,ndege nkKwanini uliamua usijihusishe na mahusiano?
Kajiunga na dini ya master chin hai yule mama tapeli msagajiHongera mkuu na kila la heri.
Nimejitenga rasmi na mambo ya dunia nikiwa na miaka 8, lakini sijajitenga na dunia.Hata hvyo unaonekana bado mtoto....utaweza ukijitenga na mambo ya dunia
Hutaacha! Utakuwa unasogeza siku tu za kuanza rasmi, mpaka siku ya mwisho.Hata mm nikifika umri fulani ntaacha aise
Situmii bidhaa zinazotokana na wanyama, sivai viatu vilivyotengenezwa na ngozi and co.Vipi huvai viatu unapekua kama mjomba Mpoto
Hapo kwenye mmea nimekuelewa.Mimea ni viumbe hai vyenye kuwezesha uhai, kuunganisha asili ya maisha yetu ya kila siku na ndio sababu ya kutumia mimea.
Kiukweli kila nikitazama maana ya mahusiano sioni umuhimu wake au sioni maana yake na kila nikitazama mahusiano najawa na maswali zaidi. Sio kwa baba yangu au kwa mama aliyetangulia hibernation.Kwanini uliamua usijihusishe na mahusiano?
Ooh kwaiyo hutamani kuwa na watoto.Kiukweli kila nikitazama maana ya mahusiano sioni umuhimu wake au sioni maana yake na kila nikitazama mahusiano najawa na maswali zaidi. Sio kwa baba yangu au kwa mama aliyetangulia hibernation.
Inategemea umesimama upande gani.Upo vizuri au kuna shida mahali