Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

shemeji nimechanganyikiwa na thread za vijana wa leo bora mie wa zamani kama babau Dark City

Utaachaje kuchoka mkubwa mwenzangu?

Juzi nilisema kuwa sasa kuna ugonjwa wa mlipuko wa watu kusimulia mambo ambayo enzi zetu mtu alitakiwa kwenda nayo kaburini,

Hata mimi nimebaki hoi,....may be tutafika!!

Babu DC!!
 
ungeomba ushauri kwanza ndo ungeeleweka. ila kwa sasa we endelea tu ila siku mkigandana ndo uombe ushauri jinsi ya kujinasua
 
Mkuu KICHWANI ZERO,

Nianze kwa kusema mara nyingi, a nickname builds character, ..and what is so fascinating about this generation is trying to post/air out every idea or something pops into their heads..but i can tell you, not all of them are diamonds!

Sina uhakika kama mkasa ulioueleza ni wa kweli, kutokana na mtiririko wa matukio ukilinganisha na posts zako katika majukwaa mengine.Na kama ndivyo, kuna uwezekano mkubwa

-Una umri mdogo.
-Tabia hii haijaanza leo.
-Si mwaminifu katika "ndoa" yako.
-Haujakua kiakili/kifikra.
-Unaweza kuwa uliathirika(kutendewa vivyo hivyo ulipokuwa mdogo na ndugu zako wa karibu)

Mkuu katika mkasa huo umeeleza victim mwenzako guwa ana"kutega".Jiulize, ni mara ngapi? Kwa nini wewe? Ulichukua hatua gani ilipotokea kwa mara ya kwanza?
Wakati hiyo yote ikitokea mkeo huwa wapi? Ulijiuliza madhara ya kitendo hicho?

Nadhani, mtu aki"kutega" na ukaonyesha msimamo, hukata tamaa(i understand kuna exceptions), lakini uki"jilegeza" usitegemee kitu kingine zaidi ya uliyoeleza.

Pili, Nadhani si mwaminifu kwa ndoa yako CHANGA(ambayo nilitegemea kwa muda huu) ungekuwa wakati hasa wa kuwa mwaminifu na kujali familia yako. Inawezekana uliingia wakati hauko tayari.

Tatu, Inapotokea umefanya kitu cha extreme kama hiki(kuzini na mama mkwe) huathiri kisaikolojia(Ni muhimu kumuona daktari), take it from me, ukizembea sasa kuna uwezekano mkubwa ukawafanyia hivi watoto wako(wa kiume/kike) na ndugu wengine.

Nne, kama ambavyo nilikwisha kusema umri wako ni mdogo(kiuandishi, majibu unayotoa, n.k), ni vizuri kupata elimu kwa wakubwa wako.Lakini kama ni mtu mzima(You grew up but you didnt mature).

Tano, Kidini..sijui ni muumini wa dini gani, lakini hata ukiwa hauna imani yeyote morally it's unacceptable, so miiko ya kiimani au mila pia huja/hukuzingatia vizuri.

Baada ya kusema hayo, ningesema(SITAKI kuwa biased sehemu moja-one side of the story), lakini hii haimaanishi you are innocent! Hapa namaanisha wewe na mama mkwe wako wote mna matatizo(if not usingekuja kuomba ushauri hapa).Nakushauri;
1. Tubu kwa MUNGU achana na mchezo huo.

2. Kaa chini wewe na mama mkwe muongee vizuri, ukimueleza nia ya dhati ya kuacha,(Ikiwa naye yu tayari)

3. Kama hayuko tayari(kutegemeana na uwezo ulionao si lazima uishi naye hapo)..mrudishe/mtafutie sehemu nyingine(ni jukumu lako, you created the monster you have to feed it)

4. Nenda kwa daktari wa magonjwa ya akili/mshauri atakusaidia.

5. Kuwa mwaminifu kwa ndoa yako.
 
Last edited by a moderator:
alitaka ukampe kwel? unakaribisha pepo ndani kwako kwa kukosa maarifa,pole sana hata self control umekosa!!!
 
Wewe mara upo UDSM unasema jana ulikuwa ukifurahia boom na malaya zambez mara umeoa hueleweki mkuu!!

wewe ndo humuelewi huyu ni dramaking
analeta upuuzi humu wakat wapo serious
mitoto mingine bana mi nashangaa watu waliopoteza mda na kumsikiliza
mods watu kama hawa wapeni life ban
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

kula huyo mle mpaka tigo c kayataka mwenyewe
 
Mkuu KICHWANI ZERO,

Nianze kwa kusema mara nyingi if a nickname builds character, and what is so fascinating about this generation is trying to post/air out every idea or something pops into their heads..but i can tell you, not all of them are diamonds!

Sina uhakika kama mkasa ulioueleza ni wa kweli, kutokana na mtiririko wa matukio ukilinganisha na posts zako katika majukwaa mengine.Na kama ndivyo, kuna uwezekano mkubwa

-Una umri mdogo.
-Tabia hii haijaanza leo.
-Si mwaminifu katika "ndoa" yako.
-Haujakua kiakili/kifikra.
-Unaweza kuwa uliathirika(kutendewa vivyo hivyo ulipokuwa mdogo na ndugu zako wa karibu)

Mkuu katika mkasa huo umeeleza victim mwenzako guwa ana"kutega".Jiulize, ni mara ngapi? Kwa nini wewe? Ulichukua hatua gani ilipotokea kwa mara ya kwanza?
Wakati hiyo yote ikitokea mkeo huwa wapi? Ulijiuliza madhara ya kitendo hicho?

Nadhani, mtu aki"kutega" na ukaonyesha msimamo, hukata tamaa(i understand kuna exceptions), lakini uki"jilegeza" usitegemee kitu kingine zaidi ya uliyoeleza.

Pili, Nadhani si mwaminifu kwa ndoa yako CHANGA(ambayo nilitegemea kwa muda huu) ungekuwa wakati hasa wa kuwa mwaminifu na kujali familia yako. Inawezekana uliingia wakati hauko tayari.

Tatu, Inapotokea umefanya kitu cha extreme kama hiki(kuzini na mama mkwe) huathiri kisaikolojia(Ni muhimu kumuona daktari), take it from me, ukizembea sasa kuna uwezekano mkubwa ukawafanyia hivi watoto wako(wa kiume/kike) na ndugu wengine.

Nne, kama ambavyo nilikwisha kusema umri wako ni mdogo(kiuandishi, majibu unayotoa, n.k), ni vizuri kupata elimu kwa wakubwa wako.Lakini kama ni mtu mzima(You grew up but you didnt mature).

Tano, Kidini..sijui ni muumini wa dini gani, lakini hata ukiwa hauna imani yeyote morally it's unacceptable, so miiko ya kiimani au mila pia huja/hukuzingatia vizuri.

Baada ya kusema hayo, ningesema(SITAKI kuwa biased sehemu moja-one side of the story), lakini hii haimaanishi you are innocent! Hapa namaanisha wewe na mama mkwe wako wote mna matatizo(if not usingekuja kuomba ushauri hapa).Nakushauri;
1. Tubu kwa MUNGU achana na mchezo huo.

2. Kaa chini wewe na mama mkwe muongee vizuri, ukimueleza nia ya dhati ya kuacha,(Ikiwa naye yu tayari)

3. Kama hayuko tayari(kutegemeana na uwezo ulionao si lazima uishi naye hapo)..mrudishe/mtafutie sehemu nyingine(ni jukumu lako, you created the monster you have to feed it)

4. Nenda kwa daktari wa magonjwa ya akili/mshauri atakusaidia.

5. Kuwa mwaminifu kwa ndoa yako.

kwanza sio kweli mbona mwenye jina hili mi namfaham na nirafiki yangu sio kweli kabisa
 
Last edited by a moderator:
It can't click my head so I can't comment. I have never been to hell where he is heading to
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

Doooooh!
Unajua hakuna dhambi mbaya kama ya rohoni, kwa hili ulilolitenda litakutesa sana. Ni pm nitakufundisha cha kufanya
 
majaribu madogo madogo pamoja na tamaa ya kimwili husababisha kuonekana huna upendo na kweli upendo haupo lets just imagine pale ndio mkeo ametokea na wewe unaenda weka pale pale kweli huu ni ubinadamu?

Ila ndio hivyo iliandikwa siku za mwisho upendo wa wengi utapoa,watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe na hii inaonesha huna upendo na unajipenda nafsi.

Swali je huna kazi hadi uwe unakaa nyumbani mmkeo aendapo kazini?
 
"na alaaniwe alalaye na mkwewe, mamaye mkewe. na watu wote waseme, Amina."

si maneno yangu bali yanatoka katika BIBLIA TAKATIFU kitabu cha Kumbukumbu la Torati 27:23.

ni aibu hata kueleza hayo mbele za watu wanaomcha MUNGU. nadhani sasa upagani umezidi katika maisha ya leo. eee MOLA uturehemu.
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

ushafanya ndo unaomba ushauri?why?hukuomba mara ulipoona dalili mbaya.acha tamaa.ww na mama mkwe wako wote hamna adabu.tenda nenda ka2bu ni zambi kubwa hiyo!kuku na mayai yake?du kuna wanaume noma!
 
Back
Top Bottom