Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

mti wa ajabu

JF-Expert Member
Aug 7, 2012
450
500
Wewe na mkwe wako wote mna laana,si bora ungeenda kununua dada poa jaman hd utembee na mkwe wako,si umedharau mkeo,kwan ulishindwa vp kuzuia hisia zako,yani mmh mungu anakuona,kweli dunia imevaa chupi
 
Mzee wa Masauti

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
2,202
2,000
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
endelea kumgegeda hadi mkeo atapojua
 
MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
3,696
2,000
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Endeleeni Ku-do
 
Mimad

New Member
Aug 27, 2016
4
45
Hayaa ulipomtafuna . umekuta tofauti gn zaidi ya kujidhalilisha nyote wa2. Na bila ya kujua umefanya kwa makusudi kuna laana itakutafuna bila kujua
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
37,757
2,000
Umekunywa sumu, unaomba msaada, mmh! sijui labda dada Lara 1 aje au Mtambuzi anajua sn kuelezea topics kama hizi,
Lkn ujuwe ss mke wako atakuwa huyomama mkwe wako, kwani wanajisikiaga sn wivu ukiongea na mwanawe, hata mm ylinikuta lkn mwanae alikuwa Gf wangu alipoona natembea na mwanawe, akaanza kutafuta namna yakunipata, mwisho lahaula kwata. lkn hata hivyo nikaamua kukimbia lkn ww mmh! hutoki hapo labda umwambie tu mmpaka umwite asije leta kasheshe, au akija tu anza ukikaa nakwambia siri ni mmoja lkn wawili kitanuka kabisa mwache kabisa au mwambie mkeo ili ajue mamaanataka kuvunja nyumba yenu, lkn ukikawia akajua nakuambia utaomba ardhi ifunguke ukimbie.
Na wewe ulimkula mama yako mkwe ... Kumbe mpo wengi .. Itakuwa kuna wengine wapo humu humu waliowala mpaka watoto zao but katika huu Uzi nao wana jifanya wako decent wana mshambulia mtoa mada
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
28,779
2,000
Mkeo nae anatafunwa na baba mkwe wake.
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
 
Doppelganger

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
1,764
2,000
Umetenda kosa kubwa sana.

Ili Usamehewe, mkeo aliqe na babako Pia.

Hapo mtaongea lugha moja. Fanya hima mkeo akaliwe pia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom