Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
shemeji nimechanganyikiwa na thread za vijana wa leo bora mie wa zamani kama babau Dark City
Utaachaje kuchoka mkubwa mwenzangu?
Juzi nilisema kuwa sasa kuna ugonjwa wa mlipuko wa watu kusimulia mambo ambayo enzi zetu mtu alitakiwa kwenda nayo kaburini,
Hata mimi nimebaki hoi,....may be tutafika!!
Babu DC!!