Nimeanza kuiadhibu serikali kwa ongezeko hili

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Mshahara take home yangu itakuwa 456,000 toka 437,500
nimeazimia kuanzia leo,
1 Naingia kazini sa 4asubuh kutoka sa6asubuh baada ya muda huo naenda kupiga dili zangu mtaani

2 Kazi nitafanya kama ninavyotaka,wala nisione kimtu kinanikoromea

3 Sitalalamikia tena serikali kwani kwa mwezi nitakuwa nafanya kazi kwa masaa 44,amabayo yanaendana na mshahara wangu wa sasa.
 
mshahara take home yangu itakuwa 456,000 toka 437,500
nimeazimia kuanzia leo,
1 naingia kazini sa 4asubuh kutoka sa6asubuh baada ya muda huo naenda kupiga dili zangu mtaani

2 kazi nitafanya kama ninavyotaka,wala nisione kimtu kinanikoromea

3 sitalalamikia tena serikali kwani kwa mwezi nitakuwa nafanya kazi kwa masaa 44,amabayo yanaendana na mshahara wangu wa sasa.

kama unaona mshahara mdogo acha kazi.
 
Hebu tumikia wananchi wako bana...pesa ni makaratasi tu!
 
mshahara take home yangu itakuwa 456,000 toka 437,500
nimeazimia kuanzia leo,
1 naingia kazini sa 4asubuh kutoka sa6asubuh baada ya muda huo naenda kupiga dili zangu mtaani

2 kazi nitafanya kama ninavyotaka,wala nisione kimtu kinanikoromea

3 sitalalamikia tena serikali kwani kwa mwezi nitakuwa nafanya kazi kwa masaa 44,amabayo yanaendana na mshahara wangu wa sasa.[/QUOTE

mkuu saa 6 ni mchana si asubuh.pia umefanya la maana sana maana nchi hii awalip kwa saa bali kwa mwezi. piga kaz nyingine uendeshe familia kila kitu kimepanda bei
 
Hii inchi hujaifahamu vizuri watakukalia kooni mpaka unyoke chezea Tz wewe wanyonge ndio wanaobanwa na sheria.
 
mshahara take home yangu itakuwa 456,000 toka 437,500
nimeazimia kuanzia leo,
1 naingia kazini sa 4asubuh kutoka sa6asubuh baada ya muda huo naenda kupiga dili zangu mtaani

2 kazi nitafanya kama ninavyotaka,wala nisione kimtu kinanikoromea

3 sitalalamikia tena serikali kwani kwa mwezi nitakuwa nafanya kazi kwa masaa 44,amabayo yanaendana na mshahara wangu wa sasa.
Na hayo masaa yanaendana na output ...???
 
mshahara take home yangu itakuwa 456,000 toka 437,500
nimeazimia kuanzia leo,
1 naingia kazini sa 4asubuh kutoka sa6asubuh baada ya muda huo naenda kupiga dili zangu mtaani

2 kazi nitafanya kama ninavyotaka,wala nisione kimtu kinanikoromea

3 sitalalamikia tena serikali kwani kwa mwezi nitakuwa nafanya kazi kwa masaa 44,amabayo yanaendana na mshahara wangu wa sasa.[/QUOTE

mkuu saa 6 ni mchana si asubuh.pia umefanya la maana sana maana nchi hii awalip kwa saa bali kwa mwezi. piga kaz nyingine uendeshe familia kila kitu kimepanda bei

ahsante mkuu,ila nilitaka kuandika sa 5;59 asubuhi
 
Na hayo masaa yanaendana na output ...???

umeuliza kitu cha msingi sana,ila sina jibu ,mwajiri ndio ataona kama kuna output nzuri au mbaya.
kupata jibu ambalo ni fair mwajiri ndiye anatkiwa kujibu hili swali
 
Kweli umefanya maamuzi ya kimahesabu sana, ulisomea wapi hesabu?
 
mmmh na mi nawaza sisi wametuongeza shs ngapi ..... maana sisi utaratibu wetu ndo haueleweki kabisaaaaa....... sisi sisi
 
nimefanya kazi miaka 3 naingia wa nne, nimepiga hesabu ya miaka hiyo na kiwango cha ongezeko la mshahara kwa hiyo miaka hiyo 3, nimepagawa. mkuu naunga mkono hoja

over
 
umeuliza kitu cha msingi sana,ila sina jibu ,mwajiri ndio ataona kama kuna output nzuri au mbaya.
kupata jibu ambalo ni fair mwajiri ndiye anatkiwa kujibu hili swali
Hapana mkubwa... Hivi mtu anapokuwa hana ufanisi kazini, yeye mwenyewe anakuwa hajui au..??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom