Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Baada ya miezi 7 kuacha kuangalia unyama wa wanajeshi wa Muuaji Putin, kuuwa watoto, wazee , kupiga hospitals, Kupiga kwenye kumbi za cinema na kuuwa watu wasiokuwa na hatia. Juzi Ijumaa nimewasha tena Tv na kuanza kuangalia tena Aljazeera channel kwa jinsi ambapo wanajeshi wa Russia walivyochezea kichapo cha mbwa mwitu.
Wanajeshi wa Russia wameacha mitambo aise na wanapora bike na kuiba nguo na kuzivaa Ili kuepuka kujulikana .
Hongereni majeshi ya Ukraine.
Wanajeshi wa Russia wameacha mitambo aise na wanapora bike na kuiba nguo na kuzivaa Ili kuepuka kujulikana .
Hongereni majeshi ya Ukraine.