Umeongea mafumbo sana.Ukipigwa Bomba Nyama utupe mrejesho, siku hizi hawa Record wala nn. Unamwagiwa Mayonaise kimyakimya
Kiaje mkuu, je asipogundulika ama kufahamika?Madhara yake ni kwamba tarehe yako ya kufa umeirudisha nyuma zaidi.
Kivipi? Toa ufafanuzi achana na nadharia ama dhana ya zamani kuwa mke wa mtu ni sumu......Hao ni sumu kali
wew nani kasemA?Mzee wa upako amesema kama nke wa ntu ni sumu basi mme wa ntu ni maziwa
Kivipi?mke wa mtu ni sumu