Nimeanza ku date na wake za watu! Embu niambieni madhara yake!

Hao ni sumu kali
Kivipi? Toa ufafanuzi achana na nadharia ama dhana ya zamani kuwa mke wa mtu ni sumu......

Hawa wake za watu nao wamezidi, wanatutaka sana vijana hasa ambao hatujaoa, hata mimi ni mhanga wa hilo jambo.

Tupeni ushauri wa maana, mfano:-
Je, kama jamaa hatanifumania kibanjuka nae usumu utakujaje? Ama hata akinitambua tu kuwa mimi ndie nambanjua mkewe anaweza niparamia hata njian?

Je, kama akinijua na asinishile je itakuwaje hapo?

Mwisho kabisa wanasheria mtusaidie, sheria zinasemaje juu ya kukamatwa ama kuhisiwa unatembea na mke wa mtu, je kuna kifungo ama faini? Kama vipo n kwa kiwango gani?

Mwisho wanaume mliooa punguzeni ukali ndani ya ndoa zenu, na mjitahidi kuwaridhisha wake zenu maana mnatupa tabu vijana ambao bado tunategemewa sana.
 
Hakuna madhara yoyote ila ni muhimu kutembea na Ky,itakupunguzia maumivu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom