isack raphael
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 139
- 30
Habar wanajamii,
Kama kilivyo kichwa cha habar, mimi ni mjasiria mali mchanga, nilikua na kiasi kidogo cha pesa nikaamua kuanzisha biashara ya kuuza chakula ila nimemkabidhi msichana ambaye atakuwa anaiendesha na muda ukifika anikabidh mahesabu nami nimpe ujira wake, sasa dhumuni la kuwashirikisha ni;
1. Naomba nipewe ushaur jinsi gani naweza kuiendesha vema ili nifike malengo.
2. Ni jinsi gani nita mkontroo huyu mdada ambaye nimemkabidh ili afanye kazi kwa moyo na uaminifu.
Nawasilisha.
NB: Nimemkabidh mtu kwa sababu mi mwenyewe nipo na shughuli zingine zakuniongezea kipato.