Nimeanza biashara ya kuuza chakula

isack raphael

Senior Member
Oct 26, 2013
139
30
Habar wanajamii,
Kama kilivyo kichwa cha habar, mimi ni mjasiria mali mchanga, nilikua na kiasi kidogo cha pesa nikaamua kuanzisha biashara ya kuuza chakula ila nimemkabidhi msichana ambaye atakuwa anaiendesha na muda ukifika anikabidh mahesabu nami nimpe ujira wake, sasa dhumuni la kuwashirikisha ni;
1. Naomba nipewe ushaur jinsi gani naweza kuiendesha vema ili nifike malengo.
2. Ni jinsi gani nita mkontroo huyu mdada ambaye nimemkabidh ili afanye kazi kwa moyo na uaminifu.
Nawasilisha.

NB: Nimemkabidh mtu kwa sababu mi mwenyewe nipo na shughuli zingine zakuniongezea kipato.
 
Vyakula aina gani? Nafaka? Kama ni nafaka kila ukileta stock pima ni kg ngapi utajua kwa bei uliopanga utaingiza sh ngapi. Kila wiki kagua imebaki kiasi gani stoo na hela aliyokabidhi. Ukisubiri mwezi unaweza kuta ufunguo wako duka la pili.... Unapohesabu kg unamwambia wazi kuwa hili gunia unategemea shilingi kadhaa tena unaweka kiwango cha juu ili ikitokea nyongeza isiibwe. Nawe kwa upande wako lipa mshahara kwa wakati, vitendea kazi, ulinzi na motisha kazi ikifanyika vizuri. Wengine watakupa uzoefu
 
1: Malengo gani uliyo yaweka?.
2: Usifikirie kum-gegeda huyo dada. :eyeroll1:
 
Ahante
 
1. Kuifanya biashara iwe endelevu na isaidie maisha yangu.
2. Siwezi kumkapuya kwa sababu najua nikifanya hivo nitaharibu biashara
 
Back
Top Bottom