Nimeandikwa dawa ya ZINC tablet

Nimeandikwa dawa ya ZINC tablet

Pedzinc ikitumika kuzuiaa Kuharishaa bhasi mechanism yake huwa ni kupunguza upoteaji wa maji kwa njia ya kinyesi kwa kuwezesha mwili kuyanyonyaa tena maji yaliyopaswa kupotea.

Pedzinc kwenye case kama COVID19 ilikuwa inatumika kupunguza uvimbe wa Njia ya hewa uliosababishwaa na wale virus tokana na Zinc iliyopo.

Pedzinc pia ina zinc ambapo ni madini muhimu kwenye kiongeza production ya sperms.

Hizo ni aina tatu basic za faida ya pedzinc na matumizi yake.

So wew ulipewa sababu una harisha ni sawa lakini ilitakiwa upewe na dawa nyingine pamoja na hiyo zinc i hope umepewaa.
 
Kwahiyo ndo mnavyofundishwaga msitupe maelekezo sisi maamuma🥺 🥺🥺
kuna kitu kinaitwa adaption life cycle sasa kuna kundi la laggard hilo huwa ni changamoto. na lipo kila mahali kwani hakuna anayejua kila kitu,sasa kwetu huwa tunawapitisha juju tuh
 
Oooh kumbe,,, basi niwie radhi mkuu🙏🏼
 
Mkuu,

Nakuomba, si kila dawa ya kuuliza mtandaoni. Kama unataka kufahamu basi uliza kwa daktari wako pale anapokupa. Dawa ina matumizi tofauti kulingana na maradhi yanayokusibu.

Pili, pale unapolazimika kuuliza unapaswa kuambatanisha na maelezo ya juu ya maradhi yaliyokupeleka hospital. Ili watu wapate kukuambia matumizi yake kwa usahihi zaidi. Kuliko watu kukujibu kwa dhania. Kila mmoja atakujibu majibu yake na yote huenda yakawa sahihi, ila si yote yatakuwa na uhusiano na tatizo lako.

Tatu, ninakujibu kwa dhania kutokana na tatizo lako hapo awali. Zinc husaidia katika kuimarisha afya ya uzazi wa mwanaume. Hufanya uume kuwa imara, huongeza hamu ya tendo na hata kuzipa afya mbegu za mhusika.
Point
 
Kuuliza sio ujinga as long as ni wewe mwenyewe umeamua to disclose taarifa zako kwa ajili ya kujipa uhakika,hawa madaktari wetu wa kugoogle siku sio kabisa,
 
Mkuu,

Nakuomba, si kila dawa ya kuuliza mtandaoni. Kama unataka kufahamu basi uliza kwa daktari wako pale anapokupa. Dawa ina matumizi tofauti kulingana na maradhi yanayokusibu.

Pili, pale unapolazimika kuuliza unapaswa kuambatanisha na maelezo ya juu ya maradhi yaliyokupeleka hospital. Ili watu wapate kukuambia matumizi yake kwa usahihi zaidi. Kuliko watu kukujibu kwa dhania. Kila mmoja atakujibu majibu yake na yote huenda yakawa sahihi, ila si yote yatakuwa na uhusiano na tatizo lako.

Tatu, ninakujibu kwa dhania kutokana na tatizo lako hapo awali. Zinc husaidia katika kuimarisha afya ya uzazi wa mwanaume. Hufanya uume kuwa imara, huongeza hamu ya tendo na hata kuzipa afya mbegu za mhusika.
Maradhi kuwa na mashipa mwembamba unaoleta damu ktk uume hivo kufanya nisiwe na nguvu imara zakufanya mda mrefu na kuweza kurudia tenda...dawa nilizopewa vigomax forte,zinc tablet (greenworld),Depoxetine
 
Hakuna upuuzi nisioupenda kama huu, mtu kaandikiwa dawa huko hospital na Dr wake, anabaki kimya, kisha anafika home anapiga picha anakutumia kukuuliza kazi za dawa 😂😂😂 sasa kwani ulilipa pesa hospital ya kazi gani?
 
Zinc ina uhusiano na Maswala ya homoni, reproduction Na nyegezi Kwa ujumla.

Pia pendelea kula mihogo in all forms tena kwa kuzingatia majira haya ni msimu wake ingawa siku hizi mihogo inapatikana through out the year
 
Naona watu wanakuja kuulizia dawa flani Ina kazi Gani huku jf,alafu wanasema nimeandikiwa,Sasa najiuliza hao ma Dr ,wanaongea lugha Gani mpaka mmeshindwa kuwauliza!? Auu nyie ni waganga wa kienyeji mnataka mkachanganye na dawa zenu alafu mseme mizimu imejibu!?embu kuweni serious basi,

mkuu madokta wakibongo ni hopeless kabsa, always huwa hawakupi maelezo ya kutosheleza nahata mda wa kumuuliza maswali huwa hawakupi.
 
Mkuu,

Nakuomba, si kila dawa ya kuuliza mtandaoni. Kama unataka kufahamu basi uliza kwa daktari wako pale anapokupa. Dawa ina matumizi tofauti kulingana na maradhi yanayokusibu.

Pili, pale unapolazimika kuuliza unapaswa kuambatanisha na maelezo ya juu ya maradhi yaliyokupeleka hospital. Ili watu wapate kukuambia matumizi yake kwa usahihi zaidi. Kuliko watu kukujibu kwa dhania. Kila mmoja atakujibu majibu yake na yote huenda yakawa sahihi, ila si yote yatakuwa na uhusiano na tatizo lako.

Tatu, ninakujibu kwa dhania kutokana na tatizo lako hapo awali. Zinc husaidia katika kuimarisha afya ya uzazi wa mwanaume. Hufanya uume kuwa imara, huongeza hamu ya tendo na hata kuzipa afya mbegu za mhusika.
Zinc zimeisha maduka yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom