Nimeandikwa dawa ya ZINC tablet

Nimeandikwa dawa ya ZINC tablet

Mbona inatibu kila kitu sasa...doctors mbona mnanichanganya🥺🥺😳😳
 
Wee Sema TU umezikuta kwa mpenz wako, una hofu zisijekua ARV[emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sijui kwanini nilivyosoma heading nilifikiria ivi-ivi
Watu wa hivyo ndo gia zao,
Hamna daktar atakupa dawa asikwambie zinasaidia nn[emoji4]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom