Emmanuel nzaligo
New Member
- Oct 16, 2026
- 1
- 2
Habari Wana jamii forum naomba kujua dawa ya kutibu bawasiri kwa mtoto mdogo maana hospital nimempeka mara nyingi lakini sijapata matokeo mazuri ahsante.
Iko nje au ndan dawa yangu ni kiboko ni kupaka na uhakika kama uko dar ntakufanyia elf 30 badala ya 50 kwa wewe kama mkoan ni elf 40Habari Wana jamii forum naomba kujua dawa ya kutibu bawasiri kwa mtoto mdogo maana hospital nimempeka mara nyingi lakini sijapata matokeo mazuri ahsante.
kuna mtu anaitafuta sana hiiIko nje au ndan dawa yangu ni kiboko ni kupaka na uhakika kama uko dar ntakufanyia elf 30 badala ya 50 kwa wewe kama mkoan ni elf 40
Hizo zimedhibitishwa ni salama kwa binadamu? Mtu asije vimba puru zaidi...au kuleta cancerIko nje au ndan dawa yangu ni kiboko ni kupaka na uhakika kama uko dar ntakufanyia elf 30 badala ya 50 kwa wewe kama mkoan ni elf 40
Ni salama waliotumia ni wengHizo zimedhibitishwa ni salama kwa binadamu? Mtu asije vimba puru zaidi...au kuleta cancer
Nipigie 0712505049kuna mtu anaitafuta sana hii
Ila hajasema ya nje au ya ndani..Ana miaka mingapi Mkuu Mimi Tiba nilipata hapahapa JF hapo mwanzo ilinitesa sana
Huu ugonjwa umenitesa sana solution ni upasuaji na sasa hivi njia zinazo tumika haubaki na kidondaHabari Wana jamii forum naomba kujua dawa ya kutibu bawasiri kwa mtoto mdogo maana hospital nimempeka mara nyingi lakini sijapata matokeo mazuri ahsante.
Tiba ni Nini mkuu weka wazi kwa ajili ya woteAna miaka mingapi Mkuu Mimi Tiba nilipata hapahapa JF hapo mwanzo ilinitesa sana
Na watu wazima je?Tiba no 1 ni ulaji sahii the rest ni zima moto anyway.
Uji wa lishe usiweke wanga mbaya. Unataka kujua wanga nzuri? nilishaelezea sana humu, otherwise PM.
Haya plani ya kuzima moto.
Hakikisha anakula papai, biringanya + mboga za majani ( mpikie) ikiwezekana na ndizi mkojozi/ mzuzu au kiazi kikuu kwa siku 3 mfululizo. Matunda ni muhimu.
Dawa yakupunguza uvimbe Anusol ipo maduka ya dawa baridi, fuata maelekezo ya dawa sio za kumeza.
Akipona hakikisha akila nyama basi asikose mboga za majani, ugali au wali kidogo mboga ziwe nyingi. Epuka kumpa chakula cha usiku kwa kuchelewa at least saa 12 au saa 1 usiku
Asante
Kweli PiaIla hajasema ya nje au ya ndani..
Kama ni mtu mizma na ni ile Ya Nje tumiw Mafuta ya Mnyonyo/Castrol Oil ukimaliza kuoga hasa asubuhi ile jifute vizuri uwe mkavu jipake eneo lote lenye Tatizo fanya hivyo asubuhi na Usiku utapata matokeoTiba ni Nini mkuu weka wazi kwa ajili ya wote
Shida ya hemorrhoidectomy wengi sio wote inarudi Baada ya mudaBawasiri haitibiki kwa mnyonyo nenda hospital onana na daktari bingwa wa upasuaji
gharama za upasuaji ni kiasi ganiHuu ugonjwa umenitesa sana solution ni upasuaji na sasa hivi njia zinazo tumika haubaki na kidonda