malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,918
- 4,709
Habari wakuu nimeandikwa dawa ya zink tablet
Naomba kujua ina faida gani mwilini.
Naomba kujua ina faida gani mwilini.
Habar wakuu nimeandikwa dawa ya zink tablet naomba kujua inafaida Gani mwilini..kazi yake kutibi nin wakuu
Umeniacha mkuu wangine luga gonganaZinc has anti-inflammatory properties that may help people with acne, rosacea, psoriasis, eczema and wound repair.
Inatibu kuharisha kusikofungaHabar wakuu nimeandikwa dawa ya zink tablet naomba kujua inafaida Gani mwilini..kazi yake kutibi nin wakuu
Sasa mkuu Sasa hivi daktar anakuandikia dawa ktk mfumo Kisha unaenda pharmacy ndo utakutana na dawa uliondikiwa..Naona watu wanakuja kuulizia dawa flani Ina kazi Gani huku jf,alafu wanasema nimeandikiwa,Sasa najiuliza hao ma Dr ,wanaongea lugha Gani mpaka mmeshindwa kuwauliza!?auu nyie ni waganga wa kienyeji mnataka mkachanganye na dawa zenu alafu mseme mizimu imejibu!?embu kuweni serious basi,
Muulize Dr Kabla hujaenda famous unaumwa Nini,atakwambia Kila kitu, mwisho watu wa famous pia wanasema magonjwa,ukimuliza atakwambia kazi ya Kila dawaSasa mkuu Sasa hivi daktar anakuandikia dawa ktk mfumo Kisha unaenda pharmacy ndo utakutana na dawa uliondikiwa..
Sawa nimekuelewa mkuuMuulize Dr Kabla hujaenda famous unaumwa Nini,atakwambia Kila kitu, mwisho watu wa famous pia wanasema magonjwa,ukimuliza atakwambia kazi ya Kila dawa
Wewe "famous"=pharmacy-famasi au.Muulize Dr Kabla hujaenda famous unaumwa Nini,atakwambia Kila kitu, mwisho watu wa famous pia wanasema magonjwa,ukimuliza atakwambia kazi ya Kila dawa
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji33]Zinc Kwa ajili ya kuongeza maji mwilini
Hii kaliZinc Kwa ajili ya kuongeza maji mwilini
Muulize Daktari yeye ndiye kafanya test za damuHabar wakuu nimeandikwa dawa ya zink tablet naomba kujua inafaida Gani mwilini..kazi yake kutibi nin wakuu
😅 😅 😅 😅insaidia kuacha punyeto
famous 😶😎Muulize Dr Kabla hujaenda famous unaumwa Nini,atakwambia Kila kitu, mwisho watu wa famous pia wanasema magonjwa,ukimuliza atakwambia kazi ya Kila dawa