Rwekaxa Autonomy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 460
- 500
Uko vizuri endlea nae mkuuAnakudanganya huyo fundi magari tulishaachana
Achana nao my lovely Mimi na wewe kufa kuzikanaAnakudanganya huyo fundi magari tulishaachanaπ
Yes babeπAchana nao my lovely Mimi na wewe kufa kuzikana
Delta 1, this is Alpha 1 reporting. Female terrorist in sight. Man down I repeat man down, Olympus has fallen.
Request for immediate back up.
Over and out
elimu imepoteza mvuto kabisa sasahivi chuoni kumejaa utoto tuTatizo Hawa madogo wanatupa hasira sana tunajikuta sie wakongwe tuliosoma kipindi hicho vyuo bado vinahadhi ya kuitwa chuo kikuu Ila sio Sasa hivi mkuu tuwaone ni maboya kujisifia nipo chuo kikuu
Mkuu mbon kama wivu,ukinzngua nakunyanganyaAchana nao my lovely Mimi na wewe kufa kuzikana
Yaani siku hizi Mimi mtu aliniambia Nina degree now namuona ni form four wa kawaida tuelimu imepoteza mvuto kabisa sasahivi chuoni kumejaa utoto tu
Mkuu huyo nimefunga nae pingu ya damu sijui utaanzia wapi kumchukua, ikiwa fundi magari kashindwa ije kuwa wewe mchomelea magetπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ nisamehe mkuuMkuu mbon kama wivu,ukinzngua nakunyanganya
Typing ya ovyoo achana naeHabarini!
Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Wewe ndo yule mtoto wa Irine Uwoya?Habarini!

Roger Thaat.Delta 1, this is Alpha 1 reporting. Female terrorist in sight. Man down I repeat man down, Olympus has fallen.
Request for immediate back up.
Over and out
πππππHuo mwandiko mpo vyuo gani nyie vichaaa??
Huu ni mwandiko wa mwanafunzi wa chuo kikuu? Basi wasitoe lawama kwa mtu yeyote wananaposhindwa kuajiriwa. Kwa mwandiko huu nani atakubali kuajiri kituko kama hiki?"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako
Hahahahaaaa,mkuu umekasirika!!?Huo mwandiko mpo vyuo gani nyie vichaaa??
Ndio wauzaji wa miili wakubwa Hawa darasani hawasomiHuu ni mwandiko wa mwanafunzi wa chuo kikuu? Basi wasitoe lawama kwa mtu yeyote wananaposhindwa kuajiriwa. Kwa mwandiko huu nani atakubali kuajiri kituko kama hiki?
Huo mwandiko mpo vyuo gani nyie vichaaa??
Huyo mrembo ameshapima upepo ameona kwako huna lolote,Habarini!