Nimeamua tuachane lakini shepu lake halinitoki akilini....

Nimeamua tuachane lakini shepu lake halinitoki akilini....

Dunia hii ina vituko sana, fanya mambo yako ya kuleta tija ya maendeleo sio kazi ya kuwaza shepu na nyau ya mtu wa wengine
 
Maisha magumu Sakayo alikuwa akizikusanya ngawira kwa kila njemba hivyo kuweza kuishi maisha ya juu kuliko uwezo wake. Sele naye akigundua kuna wenzie wawili wanapakua utamu wake naye anaweza kusepa, lakini bi dada hatakawia kutafuta replacement ili aendelee kuishi kwa raha zake kupitia shape lake la kufa mtu lol!
Hapo ndo nawahurumiaga wanaume...
Unajua kabisaa nachunwa lakini hutokiii na ukitoka unaenda kwa mwingine ambae ni kama yule yule!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nakumbuka pale udom kuna demu alikuwa mke wa mtu na yeye alijua kuwa namfahamu ila alivyokuwa analiwa aisee niliona huruma sana kwa mchizi wake..!!!
chuoni changamoto bhana.. ilifika hatua hadi mimi nikalamba.. sasa nifanyaje!
Daaa,, mkuu The End jipange, usije ruhusu mkeo kwenda chuo coz na ww watakufanyia hivo hivo km ulivofany kwa mwenzio…!!!!
 
Wanaume katika ubora wao!!!

Sele ni Sele tu bhana, we fanya mambo yako acha kuwaza alichobeba kwa nyuma. Huyo sio wako tena wala hana mpango na wewe, acha kujipendekeza kwake.
Halafu inakuwaje mtu mmoja ana wanaume watatu, wakati huo huo tunaambiwa wanaume ni wachache!!!
Me mwenyewe hapa ndio ninaposhangaaga...
Dunia na maajabu yake
 
Me mwenyewe hapa ndio ninaposhangaaga...
Dunia na maajabu yake
We hebu jaribu kuwaza kwa kina, maana huku kila mmoja analalamika mwanamke wake ana wanaume zaidi ya wawili kwa hiyo mpo mara tatu zaidi au???!
 
Umeona eh! Kama hii njemba ilishajua inachunwa lakini bado ikapeleka simu! Kisa makalio bomba lol! Makalio kwa baadhi ya njemba kumbe yanawatoa ufahamu kabisa. 🙂🙂

Hapo ndo nawahurumiaga wanaume...
Unajua kabisaa nachunwa lakini hutokiii na ukitoka unaenda kwa mwingine ambae ni kama yule yule!!!
 
We hebu jaribu kuwaza kwa kina, maana huku kila mmoja analalamika mwanamke wake ana wanaume zaidi ya wawili kwa hiyo mpo mara tatu zaidi au???!
Ndio maisha yenyewe hayo Dada mfanyeje sasa komaeni kwenye zile danger zone ili tuwe kama tumepewa limbwata kumbe msingi kiuno
 
Umeona eh! Kama hii njemba ilishajua inachunwa lakini bado ikapeleka simu! Kisa makalio bomba lol! Makalio kwa baadhi ya njemba kumbe yanawatoa ufahamu kabisa. 🙂🙂
Akili zenu mwazijua wenyewe bhana!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Daah hata mimi jamani kuna Dada anaumbo namba 8 niliachana nae tena kwa jeuri saivi anamdau mwingine na naumia hatar yani nabakia kuyatazama mashuka yaleeeee tyu
 
Sikiliza akili, moyo utakudanganya danganya
Kama akili yako imeamua kumuacha muache Fanya mambo yako ya msingi,ukiupa nafasi moyo kujutia utaumia sana
 
nakumbuka pale udom kuna demu alikuwa mke wa mtu na yeye alijua kuwa namfahamu ila alivyokuwa analiwa aisee niliona huruma sana kwa mchizi wake..!!!
chuoni changamoto bhana.. ilifika hatua hadi mimi nikalamba.. sasa nifanyaje!
Hahahaha!!Nimependa ulivyomalizia mkuu The End..:

Sasa ungefanyaje
 
a159152d07aa445f7db05fcc683b56dd.jpg
Dah!!picha kama hizi zinanipaga wakati mgumu sana kila nizionapo.

Yaani hapa tayari nimeshawishika kwa kweli ila bhasi tu hamna namna.
 
Daaa,, mkuu The End jipange, usije ruhusu mkeo kwenda chuo coz na ww watakufanyia hivo hivo km ulivofany kwa mwenzio…!!!!
ha!!! ha!!! ha!!! ha!!! ha!!!!
chuoni pabaya mkuu... yaan hata nisingemfanyia vile ila wa kwangu akienda wanampasua tu... bora nilivyompasua tu!!!
ila mke wangu hasomi tena nikimuoa..!!!
 
Back
Top Bottom