na wanawake tupo wengi shikamoo lknWanaume katika ubora wao!!!
Sele ni Sele tu bhana, we fanya mambo yako acha kuwaza alichobeba kwa nyuma. Huyo sio wako tena wala hana mpango na wewe, acha kujipendekeza kwake.
Halafu inakuwaje mtu mmoja ana wanaume watatu, wakati huo huo tunaambiwa wanaume ni wachache!!!
ukikumbuka chura akili yote inasahau aliyokufanyia
Aaah man Mbona utapata mwingine mpaka ujute kwa kupoteza muda wako!!!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ugonjwa wa mapenzi mbaya sana unajijua mmepangwa nakuoa unataka pole sana
Yaani na wewe ukaamua upigilie msumari wa moto kwenye kidonda cha rafiki yako lo!nakumbuka pale udom kuna demu alikuwa mke wa mtu na yeye alijua kuwa namfahamu ila alivyokuwa analiwa aisee niliona huruma sana kwa mchizi wake..!!!
chuoni changamoto bhana.. ilifika hatua hadi mimi nikalamba.. sasa nifanyaje!
Wanakua wachache linapokuja suala la ndoa/kuoa ila kwa mahusiano ya kawaida wapo kibaoWanaume katika ubora wao!!!