Nimeamua tuachane lakini shepu lake halinitoki akilini....

Nimeamua tuachane lakini shepu lake halinitoki akilini....

NYIE NI WAJINGA MNAOTUZALILISHA WANAUME WENZENU UPO NA MWANAMKE NA AMEKILI KUWA ANA DUME ILI KAKUAMBIA SASA HIVI ANAKUPENDA WEWE NAWE UKAVIMBA BICHWA HAPO WEWE NI WAKUCHUNWA TU ALAFU SELE ANATUMIA HELA ZAKO WEWE KUNYWA MAJI TULIZA NAFSI UTAPATA DEMU MWINGINE AU KAMA UNATAKA KUOA UTAPATA KWANI SHEPU AKE INA MAAJABU GANI KUZIDI WANAWAKE WENGINE MIMI SITAKI NIPATE TAARIFA YA KIFO CHAKO KUWA UMEJIUA KUWA JASIRI KIJANA WANGU
 
Wanaume katika ubora wao!!!

Sele ni Sele tu bhana, we fanya mambo yako acha kuwaza alichobeba kwa nyuma. Huyo sio wako tena wala hana mpango na wewe, acha kujipendekeza kwake.
Halafu inakuwaje mtu mmoja ana wanaume watatu, wakati huo huo tunaambiwa wanaume ni wachache!!!
ata afrika makoloni yalikuwa machache ili britain alipta 22 na
 
Kwa kweli huyo kakupiga chenga ya mwili! Ndio maana Mimi sipendelei kuwa na mwanamke mmoja. Maana najua mambo kama haya yapo na yanatokea! Ona sasa mtoto kakuacha kwenye mataa! Kama ulisha mtembezea dudu nakushauri achana nae kimya kimya! Ila kama ulikuwa unakazana tu kuhonga halafu hujaokoa mzigo kwa kweli pole sana maana naamini ndio unakuwa sasa!
 
Maisha magumu Sakayo alikuwa akizikusanya ngawira kwa kila njemba hivyo kuweza kuishi maisha ya juu kuliko uwezo wake. Sele naye akigundua kuna wenzie wawili wanapakua utamu wake naye anaweza kusepa, lakini bi dada hatakawia kutafuta replacement ili aendelee kuishi kwa raha zake kupitia shape lake la kufa mtu lol!

Wanaume katika ubora wao!!!

Sele ni Sele tu bhana, we fanya mambo yako acha kuwaza alichobeba kwa nyuma. Huyo sio wako tena wala hana mpango na wewe, acha kujipendekeza kwake.
Halafu inakuwaje mtu mmoja ana wanaume watatu, wakati huo huo tunaambiwa wanaume ni wachache!!!
 
d72de57e0dec4aa41f07b1ce21c02209.jpg
 
Habari za Jumapili wapendwa..

Short Story.....
Mwanamke huyu tangu nilipoanza nae mahusiano October 2014 hatujawahi kuwa pamoja zaidi ya wiki moja au siku kumi, hii ilitokana na mimi kuwa mfanyakazi nae Mwanafunzi wa chuo huko mbeya na likizo zangu ni fupi mno na pia mara nyingi tulikuwa tunapishana kwa sababu ya mimi kuamishwa kikazi yaani kuna kipindi alikuwa likizo akaja Dar es salaam hapo hapo mimi nikawa nimeamishiwa Mwanza na kwa sasa nipo Zanzibar yeye yupo Mbeya.

Mwezi wa pili Mwaka huu nilimnunulia smartphone Mpya na kuahidi kumtumia kwa basi, kabla sijamtumia nikaamua kumuunganisha kwenye mitandao yote ya kijamii ili yeye akiipata aanze kutumia tu.

Nilipata masaa kadhaa ya kuitumia kabla ya kuituma ndipo nilipojua ana Mwanaume Mwingine ambaye amewatambulisha hadi marafiki zake kuwa ndiye Mumewe mtarajiwa(Haya yote niliyajua kupitia rafiki yake Aitwaye Adela ambaye amesoma nae tangu O- level) basi nikajifanya kumkataa Selemani na kwamba sasa nampenda sana Mwinyi , Adela akasema Ney ninayemjua mimi hawezi kumwachia Sele. Daah iliniuma sana lakini nikaamua kukaa kimya na simu nikamtumia kwa basi.

Siku Chache baadae nikaamua kumwambia ukweli wote ninao ujua nae akaahidi kubadilika na kuachana na Sele kwani kwa sasa ananipenda mimi.

Tarehe 28/03/2017 Nilipata Likizo nikamwomba aje Dar, akaja na siku katua tu akaibiwa smartphone yake hali iliyopelekea asiwe vizuri siku nzima na tarehe 29 nilimpeleka Posta kurenew line yake, katika kuandika namba ambazo mara kwa mara zinamtumia pesa akajisahau akataja na ya Sele ndipo nilimuuliza hii namba ya nani? Akasema ni ya kaka yake, wakati namba za kaka yake zote ninazo , nikamuuliza kwani kabadilisha namba?? Akaishia kujikanyagakanyaga na kujaribu kuifuta ile namba lakini nami bila kuchelewa nikaisave (ulitokea ugomvi pale Voda shop Posta kwa sababu hakutaka niisave namba hadi wadada wa pale wakaanza kusimuliana kinachoendelea).

Siku zote tatu nilizokaa nae hotelini simu yake ndogo baada ya kurenew line alikuwa akiizima au kuiweka Silent au airplane mode basi usiku mnene nikaichukua simu yake na kusoma sms,,,,,,, aiseee nilipigwa na butwaa ,,,,, hakuwa na Sele peke yako ana wengine kama watatu hivi ..... Niliishiwa Pozi .

Kesho yake nilipanga nimt*ebm kwa hasira halafu niachane nae lakini nikaona nijipe mda kidogo japo hasira zangu zote ziliishia kwenye mgegedo.

Tarehe 01/04/2017 nikampa nauli arudi zake Mbeya huku akiahidi kubaki nami na kuwaacha wengine wote. Huku nyuma alikuwa kaniacha na maswali kibao kwamba , ninapo kuwa mbali nae miezi sita hadi mwaka kumbe kunawezangu wanakula mpaka wanasaza mie nabaki kutuma tu pesa za matumizi.....

Tarehe 18/04/2017 akaniomba nimlipie ada ya Chuo japo nusu pia ameniambia anataka kupanga nimuwezeshe pesa ya kupanga na kununua baadhi ya vitu, basi nikampa sharti moja tu akitaka nimfanyie yote hayo basi kwanza akubali nimuoe na nikae na simu yake kwa Muda wa wiki mbili,,,,,,,,

Kuolewa kasema, yeye Muda wa kuolewa bado sana .... Na simu kasema,,,, huku akicheka ,,,,,, hawezi kuniachia simu yake. Basi nikaamua aendelee na maisha yake nimeamua kumwacha aende......

Ni siku mbili tu tangu nimtamkie mimi na yeye sasa basi lakini Shepu Lake limetawala akili yangu....

Msaada tafadhali ..... Niweze kusahau hili Shepu Lake linalonitesa..
Mama yako ndo hana mbadala na huwezi kumsahau,hama kambi mkuu mbona ziko nyingi.
Mwanamke ana wanaume watatu.
Mmoja anaye kwa sababu yeye ndo anampenda huyo men.
Wa pili anaye kwa sababu huyo mwanaume anamfikisha kibo.
Wa tatu anaye kwa kuwa huyo men ana mshiko kila hitaji anapata.
Sasa hapo anayefaidi zaidi ni yule wa kwanza na wa pili .
Sasa jichunguze wewe uko wapi hapo,anasoma uhasibu mbeya nini mkuu.
 
Mkuu ushauri unaopewa changanya na wako, huenda humu ndani kuna akina Sele wanakuchora tu na huenda ndo wao wanaokupa ushauri Wa kuachana na huyo kichuna... Ushauri wangu usikilize moyo wako, kama bado unamtamani hayo ya kina Sele &co achana nayo kabisa, jiangalie wewe moyo wako unahitaji nini,

Kumbuka: wahenga walisema, mapenzi ni upofu.
 
Back
Top Bottom