Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Maneno ya waliotendwa
 
Hii Kali
 
Ukishakuwa naye baadaye utaanza kumcheat na wale wanaume ambao huwaoni washamba maana hapa ushasema huyo ni mshamba ila baada ya ndoa utakuwa unatoka na wajanja na bila shaka muda mwingine hutaki kumtambulisha kwa rafik zako.
 
Wewe umeswampaa mpk imekuwa lapulapu afu umuuzie mwenzio mbuzi kwenye gunia!! Tafuta kulumbembe mwenzio mahi 😂😂😂
 
ndiomana nilijua tyuu!! Sio yule nonino kweli “za kukwangua?” Yule bana uduguu
uduguuu jamaniii, kwann lakiniii.
Hivi kuna ubuyuu, natamani uniulize/uniambie nashangaa kimyaa.

Ni kwamba huujui au haujakufikiaa?
 
Weeeh sina uduguu!! Si unajua hapa kati nilikuwa busy na husiano lilotaka kunitoa roho 😂😂😂
Nipe bana ubuyu huo nakuja bobo
 
NOTE : KWANZA UYO MWANAUME HAWEZI KULIONA HILI TANGAZO.

Hakika utafanikiwa sasa itabidi uingie Mawindoni kama ( Chukoo, ) YALAMA na mawindo yako yawe out of Town.
 
Back
Top Bottom