SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,343
- 3,560
Wew acha kumpa mwenzio uoga na uvivu wa kufikiri,, watu waliuza kipindi cha Great economic depression ya dunia,, sembuse leo apa TZ ambako tunaambiwa kuna njaa ??? sehem yeyote ukiona watu wanakula ujue biashara yeyote ile inaenda...!! Au nikikwambia mi nauza BIBLE huko MACCA utaamini?? na zinatoka biashara imenyooka.......................................Umewaza kujiengua zama za kubana matumizi.... Pesa mtaani hakuna biashara zinatukatisha tamaa...... Anyway biashara haikosi changamoto..... Ujuzi wako na kujituma kwako ndio njia ya mafanikio yako..... Biashara hutegemea uhitaji/demand ya eneo husika..... Wahitaji ndio watakushawishi uwauzie nini .....Kila la kheri ktk maamuzi yako kuyaendea mafanikio yako.